Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Maisha kweli yanakwaza watu...


Haki yake huyo mwanamke karithi kwa mumewe .

Wazazi na ndugu itakuwa wamesaidiwa Sana ndio.maana kachelewa kujenga na kuoa!
 
Alikuwa msabato nn na akajifanya analeta ujuaji na kuleta maadili ya kazi,..

Hakuna mafia watu mafia kama tra hawa wa kazi maalum kakifuatia na askari hivyo viyengo havichagui kasisi, imam, shehe, padri wala shemasi..

Ukiingia humo lazima uendane na msahafu au biblia yao, kinyume na hapo unawaishwa kuzimu.
 
ATLEAST YOU HAVE A POINT.
 
Alisema walimtilia shaka Richard kwa kuwa tangu jioni alisikika akizungumza kwa sauti kubwa akiwa chumbani kwake akisema anaogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo shahidi aliyesema kuwa marehemu alisikika akisema anaogopa akae kwa machale kama ni planned assassination si ajabu naye akamfata marehemu
 
Nchi hii bhana mtu anauawa kwa kulinda kodi zetu tupo kimya tuu...tunabaki kulialia JF...waunde Tume iwaumbue na huyo alietangaza chanzo cha Kifo ilitakiwa awe ndani...
 
Polisi wa bongo hawanaga hizi mbwembwe za kukagua murder scene ni kuzoa mzoga na kupeleka mochwari hakuna habari za kukagua viatu sijui fingerprints hizo hakuna mzoga ukipelekwa mochwari inapigwa post mortem ya mchongo imeisha hio
 
Gorofa 2 mtu kufa labda Afanye kama anaogelea adive kichwa kitangulieee.. Otherwise its a murder case not suicide sema bongo ndo imeishaa hiyoo!! Na kishindo cha kujitupa hakuna mtu yeyote aliesikia kweli kwa yale mazingira ya ile hotel.
Nimewaza hivyo pia, ghorofa ya pili hapana aisee.
 
I smell fish, there is foul play here, ni rahisi kujua kama aliuliwa sehemu nyingine, harafu akaletwa hapo, Ila kama hili game limechezwa na kuhusisha polisi, hakuna ukweli utajurikana,
Nchi hii imekaa kijambazi Sana.
 
I smell fish, there is foul play here, ni rahisi kujua kama aliuliwa sehemu nyingine, harafu akaletwa hapo, Ila kama hili game limechezwa na kuhusisha polisi, hakuna ukweli utajurikana,
Nchi hii imekaa kijambazi Sana.
Uruke kutoka hapo juu mpaka chini afu ufe Mimi nimewahi kuruka sehemu km hapo na sikuvunjika hata kope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…