The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa.
Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii.
Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata wamekutana na diwani wa kata.
Tuache kutumia hizi timu kama karata ya uchaguzi. Endeleeni na wasanii Wenu mnaenda kuharibu mpira wa bongo Kwa akíli hizi mandazi.
OVA