Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa.

Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii.

Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata wamekutana na diwani wa kata.

Tuache kutumia hizi timu kama karata ya uchaguzi. Endeleeni na wasanii Wenu mnaenda kuharibu mpira wa bongo Kwa akíli hizi mandazi.

OVA
 
Nadhani wewe ni kinda sana hujui yaliyofanyika miaka ya nyuma kuhusu haya "matimu" mawili. Nakusamehe bure.
 
Umeshaambiwa timu ikicheza kiwango cha kimataifa weka chuki kando
 
Haya ni matumizi mabaya ya kodi za wa WtZ kugharamia timu ambayo ina wawekezaji.
 
Haya ni matumizi mabaya ya kodi za wa WtZ kugharamia timu ambayo ina wawekezaji.
Watanzania ndiyo Wananchi wenyewe. Hakuna ubaya kwa wao kutumia kodi zao kihalali kwa jambo la maana kama hili. Sasa wewe ulitaka serikali ifanye nini zaidi katika kutia hamasa na kusheheresha katika tukio kubwa la wananchi kama hili!?
 
Mama alitaka kutatua issue ya Fei toto, mzazibara mwenzake
 
Hata nyumba I kwako matatizo hayaishi na unalala kila siku unaamka hapo,hata angekutana na wahadhiri,wanajeshi,mapolisi,madaktari na Gani zingine zote matatizo yasingeisha,la msingi ni zamu Kwa zamu tu,Leo kakutana na Yanga kesho atakutwna na wengine.
Case closed
 
Wale hawapigi kura? Kwenye Yanga kuna Washilina wapiga kura
 
Huoni aibu kuwa mjinga mkuu?
Mjinga ni wewe unayepeleka foreigners ikulu with no reasons

Ikulu inakosa thamani kabisa,. Ikulu ni Mahala patakatifu si sehemu ya kina Morrison na takataka. Zingine
 
Wakitoka hapo atawaita wasani sjui wakina shilol na wengineo jumba jeupe kujadili mambo ya nchi [emoji1]

Ova
 
Mjinga ni wewe unayepeleka foreigners ikulu with no reasons

Ikulu inakosa thamani kabisa,. Ikulu ni Mahala patakatifu si sehemu ya kina Morrison na takataka. Zingine
Huoni aibu na wewe kuwa mjinga mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…