.. wanataka kiatu kipigwe brash! njiani🤫🤫 .WAMEPIGWA BRASH YA KICHWA✍️Wamepigwa baada ya kumlazimisha kondakta awape tsh 10,000/= kwa ajili ya kubrashia kiatu!
NYIE NI NDUGU MSIGOMBANE 🤫myamalize nyumbani🫣🫣Sina baba mjinga kama wewe, mama yangu ni marehemu bibi yako!
Huyu mgukuu wa nje ya ndoa,na alikuja na mama yake msumbufu sanaNYIE NI NDUGU MSIGOMBANE 🤫myamalize nyumbani🫣🫣
🤣🤣🤣 ila wamezd sana aiseeeAngalia unachoandika n wingii huo.Hata pwani na mikoa mingn watu wa aina hyo wapo usijumuishe watu wote
🤣🤣🤣 bdo ubabe mwng unawasumbuaSijafurahishwa na tukio la kumpiga askari ila niseme tu watu wa mkoa wa Mara ni wastarabu sana, wenye upendo na utu. Ila hawapendi upuuzi na unafiki.
Tatzo matumz ya nguvu kuptilizaWatu pekee ambao hawajawa misukule ya siasa na maujinga ya pwani pwani.
polisi wanapigwa miaka yote uliishawahi kuona wanakuwa ng'ombe??Hali imeanza kutia moyo wakichapwa kama watatu watatia akili mbuzi hao
Mbuzi nyingine hiipolisi wanapigwa miaka yote uliishawahi kuona wanakuwa ng'ombe??
Gari likibinuka mkakatika vichwa mnalaumu kwamba wanakula rushwa badala ya kusimamia sheria.
ukiwa na akili hizi sehemu yoyote tofauti yako na hao mbuzi ni wao kuvuka wenyewe barabara.
Zikifika tano zipe K.Mbuzi nyingine hii
Hata kufanya hivyo itasaidia nini ikiwa atasema raia walimpiga. Kwani nani ana ushahidi kwamba raia walimpiga kweli huyo askari na sio framed case.Wangefunga mlango waende kumshusha mwisho wa gari
Askari kweli kachezea kipigo huyu cha raia wenye hasira kali🤣
Kwamba askari aliangukiwa na mti akaona awabambikie raia wasafiri msala??Hata kufanya hivyo itasaidia nini ikiwa atasema raia walimpiga. Kwani nani ana ushahidi kwamba raia walimpiga kweli huyo askari na sio framed case.
Watu wanachukulia easy, hao jamaa wanadekezwa sana awamu hii ndio maana wanajifanyia wanavyotaka. Wakikutana na upinzani tu kesi inageuzwa kwa raia 🤣Huyo askari kuna jambo itakuwa alifanya au alitoa kauli chafu , si rahisi watu wote wampige yeye kama alitumia ustaarabu wa kisheria
Katoe k yako kwa mahabusu waliokamatwa, unaonekana mzoefu wasipokutosha njoo huku kitaa raia wakutifueZikifika 5 toa K zitageuka ng'ombe
Uraiani wanasema wametosheka na mgao wako wa hisani.Katoe k yako kwa mahabusu waliokamatwa, unaonekana mzoefu wasipokutosha njoo huku kitaa raia wakutifue
Inasemekana wamegoma kabisa abiria 18 kukamatwa kwa kosa hilo kweli wakurya ni balaa.Hao polisi wawe wanaangalia na mikoa ya kuleta upuuzi wao