Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

Raia wameshawachoka Askari polisi kutokana na baadhi yao kua na matendo yao ya kikatili
 
Hali imeanza kutia moyo wakichapwa kama watatu watatia akili mbuzi hao
polisi wanapigwa miaka yote uliishawahi kuona wanakuwa ng'ombe??

Gari likibinuka mkakatika vichwa mnalaumu kwamba wanakula rushwa badala ya kusimamia sheria.

ukiwa na akili hizi sehemu yoyote tofauti yako na hao mbuzi ni wao kuvuka wenyewe barabara.
 
Mbuzi nyingine hii
 
Hata kufanya hivyo itasaidia nini ikiwa atasema raia walimpiga. Kwani nani ana ushahidi kwamba raia walimpiga kweli huyo askari na sio framed case.
Kwamba askari aliangukiwa na mti akaona awabambikie raia wasafiri msala??
 
Back
Top Bottom