Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Angalia hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Taarifa kwenye picha kuna Mwananchi amepanda NGUZO ya umeme wa msongo wa kilovoti 132 njia Mwanza-Musoma Nguzo namba 500 iliyopo Mwibagi Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.

Mara baada ya kupata taarifa watu wetu wamewasiliana na Mkuu wa kituo cha polisi Kiabakari na kufanikiwa kufika eneo la tukio kwa wakati.

Timu yetu imefika na kumshawishi mhusika kushuka bila mafanikio. Jitihada za kumshusha bila kudhurika zinaendelea, na tunaweza kulazimika kuzima laini hiyo ambayo itapelekea Mkoa wote wa Mara kukosa umeme.
Your browser is not able to display this video.
 
Anaulizwa apewe nini ili ateremke?
Anajibu: "mna nini nyie?" huku akicheka kwa kebehi.
Unakata umeme mkoa mzima hujui kuna wengine wanafanyiwa operations mda huo na umeme unatakiwa , unazima kisa chizi mmoja , leave him alone 😁😁😁😁
 
Eti mtajua nyinyi,jamaa shenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…