Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juhudi za awamu ya 6Kama ni kwel nashukuru kwa mara ya kwanza naona serikali ya tz inaokoa maisha ya mtu
Kwa Tz sawa watamtumbukiza sero kwa kosa la kutaka kujiua ila kwa wenzetu anapelekwa hospital kupimwa afya ya akiliAkitoka hapo anafikia selo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anaulizwa apewe nini ili ateremke?
Anajibu: "mna nini nyie?" huku akicheka kwa kebehi.