Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

Stress labda naye Kahonga demu iphone 14.
Inatakiwa serikali itoe tangazo mtu akipanda kwenye line ya umeme,ashushwe kwa risasi vijana ndio wanaona fasheni na kutafuta umaarufu wa kindezi.(joking usije mwaga povu la kwapa hapa)
 
Au huenda ni lastborn ana madeko(in Bashiru voice)
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosh
 
Huenda ni mwendawazimu yule, mtu mwenye akili timu hawezi kupanda juu huko bila shughuli maalumu. Huyu mtu angeweza kukata njia ya umeme huo kama akili zenyewe ndio hizo
 
Umekosea njia. Angalia usivhanganyikiwe
 
Kwa hiyo jamaa ameamua kuyaweka maisha Yake rehani ili awazuge watu waje wamuokoe Kama hawana kazi za kufanya vile.Pumbavu Sana huyo dogo.
 
Kuna volt laki mbili hapo less than second hayupo duniani
Huenda ni mwendawazimu yule, mtu mwenye akili timu hawezi kupanda juu huko bila shughuli maalumu. Huyu mtu angeweza kukata njia ya umeme huo kama akili zenyewe ndio hizo
 
Mwenzenu kapanda kupiga picha atupie facebook nyie mmempanikisha na kupaniki.
 
Kama Ni Mimi niliyepanda ningewaambia wote wanaonitizama wachange pesa, ikifika laki tano tu nashuka.
Nakwenda bar tulivuu na sitaki inzi Wala chawa.
 
Back
Top Bottom