H Hoaxer JF-Expert Member Joined Sep 7, 2022 Posts 2,726 Reaction score 6,852 Jan 20, 2023 #41 Kama anataka kufa si angeenda tu hapo Namanga akatembea na Malaya wamuambukize lile super gonorhea linalotikisa Namanga.
Kama anataka kufa si angeenda tu hapo Namanga akatembea na Malaya wamuambukize lile super gonorhea linalotikisa Namanga.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Jan 20, 2023 #42 Ingekuwa awamu ile yangeongelewa mengi humu kuhusu ugumu wa maisha. Bado tutanyooka tu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 20, 2023 #43 Wagumu Tunadumu said: Kama ni kwel nashukuru kwa mara ya kwanza naona serikali ya tz inaokoa maisha ya mtu Click to expand... Juhudi za awamu ya 6
Wagumu Tunadumu said: Kama ni kwel nashukuru kwa mara ya kwanza naona serikali ya tz inaokoa maisha ya mtu Click to expand... Juhudi za awamu ya 6
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jan 20, 2023 #44 Superbug said: Akitoka hapo anafikia selo Click to expand... Kwa Tz sawa watamtumbukiza sero kwa kosa la kutaka kujiua ila kwa wenzetu anapelekwa hospital kupimwa afya ya akili
Superbug said: Akitoka hapo anafikia selo Click to expand... Kwa Tz sawa watamtumbukiza sero kwa kosa la kutaka kujiua ila kwa wenzetu anapelekwa hospital kupimwa afya ya akili
H Hoaxer JF-Expert Member Joined Sep 7, 2022 Posts 2,726 Reaction score 6,852 Jan 20, 2023 #45 Bado hajafanya maamuzi magumu?
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,194 Reaction score 10,711 Jan 20, 2023 #46 Gunst said: Anaulizwa apewe nini ili ateremke? Anajibu: "mna nini nyie?" huku akicheka kwa kebehi. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hii nchi Raha sana
Gunst said: Anaulizwa apewe nini ili ateremke? Anajibu: "mna nini nyie?" huku akicheka kwa kebehi. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hii nchi Raha sana