Mara: Kuuawa kwa majambazi 3 Serengeti, wananchi wawapongeza Polisi

Kwani hao ndugu zako majambazi hawajui Katiba? Kama wao wanaua basi wauawe tu.
Msiwatumie POLICE kumwaga Damu ya wananchi tena watuhumiwa.

Ingekuwa kuua mtu ni jambo Rahisi kiivo, mbona SA100 anakwepa Kutia Saini watu walohukumiwa kunyongwa na mahakama wanyongwe Hadi kufa???🙃🙃🙃🙃
 
Hivi KATIBA yetu ni Mahali Gani imeandikwa POLISI amepewa mamlaka ya kuhukumu mtu KIFO?

Kama mazingira ya KAZI ni magumu Serikali iboreshe, kama ni Wachache waajiriwe. Kama tatz ni technologia wafunge camera Kwa key areas,washukiwa wachukuliwe finger print Ili zitumike kuwabaini wafanyapo matukio.

IGP, Waziri wa Ulinzi, DC, RPC wawajibishwe ktk hili.
Ila hao majambazi Katiba imeruhusu kuhukum watu kifo,kimsingi Kuna vitu lazima vimalizwe kikatili na lazima wawepo watu wa kufanya hizo kazi hili nchi iende mbele,hata nchi mnazozipigia upatu ziko mbele Kwa haki za binadam sio Kila kesi kwao inamalizwa mahakamani,law can not solve every problem.
 
Waambie hao majambazi wafuate sheria pia lasivyo waendelea kupigwa risasi za vichwa tu mpaka waishe.
We huwajui policeee ww, wapigie saiz wambie una milioni 500 ndani ya nyumba Yako wakusaidie kuzifikisha bank salama uone kama utatoboa!!!
 
Ila hao majambazi Katiba imeruhusu kuhukum watu kifo,kimsingi Kuna vitu lazima vimalizwe kikatili na lazima wawepo watu wa kufanya hizo kazi hili nchi iende mbele,hata nchi mnazozipigia upatu ziko mbele Kwa haki za binadam sio Kila kesi kwao inamalizwa mahakamani,law can not solve every problem.
Naelewa unachomaanisha, tatizo Kuna POLICEEE wengi tu ni wahalifu hivyo tunataka wafuate taratibu wasijeua mtu pasi na hatia.

Aquilina, David mwangosi na wengine wengi walidhulumiwa uhai bila hatia.

Ameeeen.
 
Ila hao majambazi Katiba imeruhusu kuhukum watu kifo,kimsingi Kuna vitu lazima vimalizwe kikatili na lazima wawepo watu wa kufanya hizo kazi hili nchi iende mbele,hata nchi mnazozipigia upatu ziko mbele Kwa haki za binadam sio Kila kesi kwao inamalizwa mahakamani,law can not solve every problem.
Naelewa, tuhakikishe police wanakuwa na maadili pia, RUSHWA Kwa watu hao imekithiri, Si vyema wakaachwa kuhukumu raia kifo.
 
Hivi KATIBA yetu ni Mahali Gani imeandikwa POLISI amepewa mamlaka ya kuhukumu mtu KIFO?

Kama mazingira ya KAZI ni magumu Serikali iboreshe, kama ni Wachache waajiriwe. Kama tatz ni technologia wafunge camera Kwa key areas,washukiwa wachukuliwe finger print Ili zitumike kuwabaini wafanyapo matukio.

IGP, Waziri wa Ulinzi, DC, RPC wawajibishwe ktk hili.

Haya unayoyashauri peleka huko kwa nchi za mabeberu,
Lakn kwa hapa bongo ni chuma juu ya chuma

Polisi endeleeni kupeleka moto hivyo hvyo kwa haya MAJAMBAZI na vibaka wote nchini, majitu mapuuzi kama haya ya JF yasiwarudishe nyuma

HEKO JESHI LA POLISI
 
Back
Top Bottom