Aliyekua anamtekodi.kamteka nani?
amesema akiwa na akili timamu..anahama
WEWE HUVIJUI! Swali lako ni kana kwamba unauliza uwepo wa maiti mortuary, hilo ni obvious! Hivyo maendeleo wanayounga mkono ni OBVIOUS, kama wewe huyaoni pole sana!Walahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!
Bandiko zuri lakini ungeandika kwa kiswahili si unajua wengine inglish noti rechabo!The only way of ensuring that those members of parliament from the opposition parties who opt to relinquish their parliamentary seats in support of the President, the President Dr Magufuli should suspend the habit being exercised by CCM of returning the same as contestants of the would be parliamentary election or counselor(Madiwani) and put forward members from the ruling party CCM. This will be a proof that they are not bought, they are not favored more than the part die hards( wafia chama na wavumilivu katika chama - CCM).Who ever steps down from any political party should be put in view(KIV) keep in view for consideration in 2020 elections and not in the by elections. Tanzanians truly appreciate what the President is doing but MPs resigning and the returning of the same names for re-election is not proper, they are actually not supporting the President but are only doing that for their stomachs and not for the interest of the common man, the voter. After all CCM have the majority to pass any legislation mandatory for the betterment of the nation Tanzania. This is my advice and I believe CCM National chairman Dr Magufuli will consider my suggestion and implement it. It seems some senior party officials have got no guts of facing their chairman! Period.
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Akitangaza kujivua uanachama amesema,
Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Nawaomba wananchi wa Serengeti, mlinipa imani kubwa ya kuwatumikia lakini imefikia sehemu kupitia CHADEMA naona kama siwatendei haki.
Nimeamua nijivue uanachama na kujinga na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za maendeleo ambazo anazifanya Rais Magufuli. Niwaombe wananchi wa Serengeti, nafasi ipo kwenu chagueni mtu mnayemuona anawafaa kuwawakilisha ambaye ataungana na Rais Magufuli kuwaletea maendeleo.
Asanteni sana.
VIDEO:
Sijazaliwa nanjilinji mjomba kama hicho kivuko cha tazara au sijui Bombardier ndio vinakuchanganya ni wewe unalipia bombardier au sijui uwanja wa ndege Chato ,wakati kuna kivuko cha miaka ya Nyerere kinaua watu 200 mnashindwa kuwaokoa kisa giza ? Elimu yetu ni uchafu tu ,kilimo ni uchafu vilevile ,vitu ambavyo vinagusa maisha ya mtanzania wa kawaida kabisa ,halafu ndio unashangazwa na usanii wa wanasiasa huyo anapiga mark time tu amalize muda wake asepeWEWE HUVIJUI! Swali lako ni kana kwamba unauliza uwepo wa maiti mortuary, hilo ni obvious! Hivyo maendeleo wanayounga mkono ni OBVIOUS, kama wewe huyaoni pole sana!
Wanaitia serekali gharama za kijinga
WEWE HUVIJUI! Swali lako ni kana kwamba unauliza uwepo wa maiti mortuary, hilo ni obvious! Hivyo maendeleo wanayounga mkono ni OBVIOUS, kama wewe huyaoni pole sana!
Mkuu ulikusudia hii au "ease"? Sisi wengine hivi Viswahili vinatuendeshaNo problem, no longer at easy!
Observation nzuri sana lakini siyo kweli kuwa viti maalumu hutokana na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa bali inatokana na idadi ya kura zote za ubunge. Kisheria, chama kinaweza kisiwe na mbunge wa kuchaguliwa lakini kikapata wabunge wa viti maalum iwapo kilipata kura za ubunge zaidi ya 5% ya kura zote. Hilo linaweza kutokea iwapo wagombea wake walikuwa competitive sana lakini walishindwa kwa kura chache za ubunge wa kuchaguliwa. Hata hivyo, baada ya wabunge wa kuchaguliwa kuhama, ni kweli kuwa idadi ya kura zilizotumika katika kukokotoa namba za ubunge wa viti maalumu itakuwa imebadilika na inawezekana CHADEMA ikatakiwa kuachia kiti kimoja au viwili vya ubunge huo wa viti maalumu ingawa Katiba yetu haiko wazi kuhuzu hali hiyo..Wana jf naomba kujyzwa kuhusu wabunge wa viti maalum.
Ninavyoelewa ni kwamba jinsi unavyopata wabunge wengi katika majimbo ndivyo pia unapata wabunge wengi wa viti maalum
Sasa endapo chama cha siasa kinapoteza wabunge wengi wa kuchaguluwa majimbo hivyo kukosa sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum sheria inasenaje?
Nao pia wanapungwa na kuongezewa wale Walloongeza wabunge wa majimbo?
....Nyalandu hamkumuongelea hivi !?Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
....chadema hawaungi mkono jambo lolote, hata kwenye 'fly over' hawakuunga mkono.Kwani hawezi kumuunga mkono akiwa chadema
...hawa walipandikizwa, lakini mwenyekiti aliamua kubadilisha gia anganiIntelligence ya chadema imefubaa sana watu kama hawa ni wakuwapiga chini kabla ya wao kuamia
hii tarehe ipo sawa kweli?
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Akitangaza kujivua uanachama amesema,
Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nime.............