MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Kuna mahala nilizungumza kuhusu hawa walimu ni shida ya taifa wachache ndio great thinkers, unaunga juhudi gani sasa uje na ahadi za kutujengea barabara za lami wakutungue
 
Nashangaa CHADEMA wanashindwa kujua kwamba wanatatizo mpaka sasa?
Kama unateua wagombea ubunge wanaokuja kuhamahama kama hivi kwanini tusione wewe uliowateua na kuwapa ridhaa ndo unatatizo kubwa.
Au hawa walikuja huko Bahati mbaya na mafuriko yale ya 2015?
 
Wanaunga mkono Juhudi zipi?
 
Sasa hawa "wanaunga mkono" " mambo gani???? Cc: Lumumba boys i want at least 6 points
Elimu bure, ujenzi wa SGR, miradi ya ujenzi wa vituo vya afya na uboreshaji wa hospital nchini, miradi ya upatikanaji wa maji kwa wananchi mjiji na vijijini, miradi ya usambazaji umeme Mjini na Vijijini, vita dhidi ya ufisadi, rushwa na dawa za kulevya, usimamizi wa nidhamu na uwajibikaji kwa watendaji na watumishi wa umma, uzalishaji umeme wa gharama nafuu nk
 
Wana jf naomba kujyzwa kuhusu wabunge wa viti maalum.
Ninavyoelewa ni kwamba jinsi unavyopata wabunge wengi katika majimbo ndivyo pia unapata wabunge wengi wa viti maalum
Sasa endapo chama cha siasa kinapoteza wabunge wengi wa kuchaguluwa majimbo hivyo kukosa sifa ya kuwa na wabunge wa viti maalum sheria inasenaje?
Nao pia wanapungwa na kuongezewa wale Walloongeza wabunge wa majimbo?
 
Kuwa Mtoto wa Kambo ni Kipaji taabu na mateso unayopata yanabaki kuwa siri yako . Haww wanaohama wana siri na pia huko wanakotoka kuna tatizo.

Ila nadhani huu Ubunge ungepita bila kupingwa ingependeza ili pesa ziende kwenye Miradi ya Maendeleo.
 
Walahi

Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?

Salalee!
inashangaza sana tena huko huko mara Tarime ndipo Polisi wanapiga wananchi masikini kwa Amri za tajiri MZUNGU kuna unyanyasaji wa kutisha sana
 
Kuwa Mtoto wa Kambo ni Kipaji taabu na mateso unayopata yanabaki kuwa siri yako . Haww wanaohama wana siri na pia huko wanakotoka kuna tatizo.

Ila nadhani huu Ubunge ungepita bila kupingwa ingependeza ili pesa ziende kwenye Miradi ya Maendeleo.
Pesa inayotumika kuwanunua wabunge na pesa inayotumika kwenye chaguzi na pesa inayotumika kukandamiza demokrasia na pesa inayotumika Polisi kuwabambikia wananchi kesi ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka mwanza mpaka ukara na ukerewe.
 
"Dying without bitterness"

Sitoshangaa kusikia Mbowe amejitoa CDM kuunga juhudi za Rais.
Mbowe hawezi kuhama chadema endeleeni kuwaokota wenye njaa pekee wasiokuwa na uchangu wa pesa za umma zinazopotea kwenye ununuzi wao na kwenye chaguzi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom