MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

kitengo cha chadema kimelala? Wasiweze kulibaini mapema akafukuzwa
Ni vigumu kuwabaini kwa madalali wa siasa toka CCM hufanya huo ununuzi kwa njia za siri na huwalipa cash ili wapate 10% zao mapema, Le mutuz ni mmojawapo wa wana kamati ya wanunuzi muulizeni huko club Bar atawapa siri zote
 
R
Tatizo kinachoungwa mkono hakionekani.
Kwa sasa wanaunga mkono RPC wa Tarime kuwapiga wananchi kisha DC akaenda kufunga mgodi huku MZUNGU aliyesababisha mgpgoro akishinda ofisini kwa RPC kupiga nae story kisha kupanga jinsi ya kuwabambikia kesi wale wananchi ambao MZUNGU anaona ni kikwazo kwake wakati akiwa anapora madini ya wananchi wanyonge na masikini
 
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.

Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.

Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Pesa inayotumika kudhoofisha upinzani ni pesa nyingi sana i
 
Huyu jamaa alidanganya mbele ya Rais akimtuhumimu mkurugenzi wa wilaya. Jamaa wamemwendea na kumwambia achague moja, kwenda jela au kuhamia ccm?
 
Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
Kujieleza kitu gani?
 
2020 chama kitabaki na freeman aikaeli mbowe na familia yake tu walahi
 
Swafiiii sana walahi
42E29356-D1BE-48E9-ABA5-76261998241D.gif
 
Lazima tukubali ukweli kwamba mtu mweusi ni alama ya umaskini, upungufu wa akili, uvivu, umaskini na kushindwa kutawala hisia. Mtu mweusi yupo tayari kufanya lolote lile liwezekanalo ili tu kulinda upumbavu wake. Wape pesa kwa ajili ya maendeleo. Wataanza kupigana wao kwa wao na kutengeneza uadui. Gundua mafuta kwenye nchi zao, watachinjana bila huruma, na hakutakuwa na amani tena eneo hilo kwa siku zote za maisha yao.
Trump.
 
Back
Top Bottom