Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
H
Acheni upumbavuu wa kudhani wapinzani mna akili sana wakati hata ujenzi wa ofisi ya makao makuu umewashinda.
Hivi kipindi kile kina Lowassa, Sumaye, Nyarandu na wengine wengi wanahamia upinzani kuunga mkono hazikuwa zama za ujinga?Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Acheni upumbavuu wa kudhani wapinzani mna akili sana wakati hata ujenzi wa ofisi ya makao makuu umewashinda.