Flyovers. Soon Zitajengwa huko murra!Walahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!
Ndio maana wanasua sua kukarabati makao makuu kwa sababu wanajua muda wowote watagawana fito.Jamani si wataisha wote huko yakabaki magofu tu?
Hata wewe? As if siasa na Watanzaia ni vigeni kwakoMbona hamkusema haya mapema na mmengoja ameondoka ndiyo sasa mnatutapikia hivi? Kataeni muwezavyo ila CHADEMA kuna tatizo la msingi ambalo kama msipokuwa makini nalo kuna uwezekano hadi kufikia mwaka 2020 huko akabaki tu mwenye Chama chake Mzee Mtei na Dalali wake Mkuu Freeman Mbowe na Wabunge wote wakarudi CCM. Yaani badala ya Kutafakari kwanini mnakimbiwa nyie mlivyo na akili fupi neno lenu la Kwanza na la Kujitetea ni kuwa ' Wananunulika ' na Serikali kupitia Chama Tawala cha CCM.Tukiwashaurini mnatudharau acheni sasa ' mkomeshwe ' labda mawazo yetu ya Kiuhalisia mtayakumbuka sasa na kubadilika.
Mbona hamkusema haya mapema na mmengoja ameondoka ndiyo sasa mnatutapikia hivi? Kataeni muwezavyo ila CHADEMA kuna tatizo la msingi ambalo kama msipokuwa makini nalo kuna uwezekano hadi kufikia mwaka 2020 huko akabaki tu mwenye Chama chake Mzee Mtei na Dalali wake Mkuu Freeman Mbowe na Wabunge wote wakarudi CCM. Yaani badala ya Kutafakari kwanini mnakimbiwa nyie mlivyo na akili fupi neno lenu la Kwanza na la Kujitetea ni kuwa ' Wananunulika ' na Serikali kupitia Chama Tawala cha CCM.Tukiwashaurini mnatudharau acheni sasa ' mkomeshwe ' labda mawazo yetu ya Kiuhalisia mtayakumbuka sasa na kubadilika.
View attachment 879804
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Hizi zamu zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Too much! boring, barbaric, archaic, uncivilized......
True hata mimi nilimsikia akisema kwa hiyo. Sishahangai. Ila nadhani siasa za CCM sasa zimekuwa Uchwara. hivi hayo mabilioni ya marudio ya chaguzi ndogo si afadhali zingejenga miundombinu au hospitali?Nilimsikia siku ile kwenye mkutano Wa Magu akisema msinizomee na Mimi naweza kuwa mwanaccm
Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
Taarifa zilizopo ni kua mbunge huyo amejivua uanachama wa chadema na kuhamia CCM
Jamaa kagundua kua hata uchaguzi ukiitishwa Chadema watasusia atapita bila kupingwa.
Tubadili katiba, kama mtu anataka kuhama chama ahame bila kutuingiza kwenye hasara za uchaguzi.
Nchi hii bado masikini, vipaumbele ni vingi sana, pesa iende kwenye mambo ya msingi na sio kila siku ni uchaguzi.
By t way kuna majimbo zaidi ya 150 ya yanayoongozwa na ccm toka 2015, wabunge wake wanaunga mkono CCM since then, sioni tofauti yake ya maisha na majimbo yasiyo ya CCM. Kuunga mkono au kutounga sijaona tofauti.
kila linalotokea lina heri zake mkuu .Mmesababisha wananchi kuumia nyoyo zao muda mwingi na mmewatendea dhihaka
Kumbe ubunge na udiwani ni biashara!
Tunamtakia kila la heri huko goli jipya
Mkulu alimwambie Ded Serengeti amuolee Dada zake ili kudumisha heshima, atakuwa ametishika na hilo.
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Akitangaza kujivua uanachama amesema,
Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Nawaomba wananchi wa Serengeti, mlinipa imani kubwa ya kuwatumikia lakini imefikia sehemu kupitia CHADEMA naona kama siwatendei haki.
Nimeamua nijivue uanachama na kujinga na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za maendeleo ambazo anazifanya Rais Magufuli. Niwaombe wananchi wa Serengeti, nafasi ipo kwenu chagueni mtu mnayemuona anawafaa kuwawakilisha ambaye ataungana na Rais Magufuli kuwaletea maendeleo.
Asanteni sana.
Keshafika bei huyo... Wacha aondoke