MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

Kila rakheri, msalimi jiwe mwambie mtaani kugumu.
 
Bandiko zuri lakini ungeandika kwa kiswahili si unajua wengine inglish noti rechabo!
 
aisee siasa hizi
 
WEWE HUVIJUI! Swali lako ni kana kwamba unauliza uwepo wa maiti mortuary, hilo ni obvious! Hivyo maendeleo wanayounga mkono ni OBVIOUS, kama wewe huyaoni pole sana!
Sijazaliwa nanjilinji mjomba kama hicho kivuko cha tazara au sijui Bombardier ndio vinakuchanganya ni wewe unalipia bombardier au sijui uwanja wa ndege Chato ,wakati kuna kivuko cha miaka ya Nyerere kinaua watu 200 mnashindwa kuwaokoa kisa giza ? Elimu yetu ni uchafu tu ,kilimo ni uchafu vilevile ,vitu ambavyo vinagusa maisha ya mtanzania wa kawaida kabisa ,halafu ndio unashangazwa na usanii wa wanasiasa huyo anapiga mark time tu amalize muda wake asepe

1.5 Trilioni alizosema CAG hazijulikani matumizi yake ,ingefanya mangapi ?
Unataka niungane na wewe kusherekea upuuzi huku maradhi ,umaskini na ujinga ndio Diet ya Watanziania ?
 
Hakuna wanachounga mkono ni unafiki tu. They are all stupid na ukienda kwenye mjimbo yao nothing new they bought na hata baada ya kuhamia ccm nothing new they wil bring. THEY ARE ALL STUPID
WEWE HUVIJUI! Swali lako ni kana kwamba unauliza uwepo wa maiti mortuary, hilo ni obvious! Hivyo maendeleo wanayounga mkono ni OBVIOUS, kama wewe huyaoni pole sana!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Poleni sn chdm mimi nashauri.kabla kuhàma ebu mfanye utafiti hatakwa akili kidogo.hivi ukitakà kumuungà mtu.mkono ni lazima uendehuko.
 
Nchi ya vitisho na kitu kidogo.. Kuambiwa tu Mkurugenzi aoe dada yake?? Kaamu kupokea mahari na kuhamia kwa mume wa dada.. Hizi ni zama za siasa za ujinga kuwahi kutokea.. Majuto ni mjukuu,anayeruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara ni mkuu wa malaika na wapambe wake tu.
 
Observation nzuri sana lakini siyo kweli kuwa viti maalumu hutokana na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa bali inatokana na idadi ya kura zote za ubunge. Kisheria, chama kinaweza kisiwe na mbunge wa kuchaguliwa lakini kikapata wabunge wa viti maalum iwapo kilipata kura za ubunge zaidi ya 5% ya kura zote. Hilo linaweza kutokea iwapo wagombea wake walikuwa competitive sana lakini walishindwa kwa kura chache za ubunge wa kuchaguliwa. Hata hivyo, baada ya wabunge wa kuchaguliwa kuhama, ni kweli kuwa idadi ya kura zilizotumika katika kukokotoa namba za ubunge wa viti maalumu itakuwa imebadilika na inawezekana CHADEMA ikatakiwa kuachia kiti kimoja au viwili vya ubunge huo wa viti maalumu ingawa Katiba yetu haiko wazi kuhuzu hali hiyo..
 
sasa tutakuwa tunashughulikia uchanguzi tu. Gharama sana aisee.mimi nadhani tunvetengeneza sheria ndogindogo za kuokoa hali hizi. Wasubiri uchaguzi mkuu mwingine ndio wajiuzulu
 
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.

Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.

Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
....Nyalandu hamkumuongelea hivi !?
 
Watu wa kanda maalum mmekuaje, binafsi naona kitu cha fedheha
 
hii tarehe ipo sawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…