[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dreamliner na daraja la Tazara. Sikutegemea Tanzania itakuja kuwa kituko kiasi hiki 21st century watu wanakimbiza na mambo ya kawaida?Maaanina Walahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!
Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
CHADEMA ya sasa hivi inafukuzana na vivuli tu. Kwa kifupi imepoteana.kitengo cha chadema kimelala? Wasiweze kulibaini mapema akafukuzwa
Karibu utajirike tuwanyonye wajinga gharama yetu pilau, khanga, kofia, na madera tutapnana nao baada ya miaka mitano. Hajui hata kuhoji was ni kusifia kwenda mbeleKaribu chama makini Afrika.
"Sizitaki mbichi hizi"Haikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
KWAN KUTAKUWA NA UCHAGUZ WA MARUDIO???????? naomba apite bila kupingwa...hyo walio mpa mpka kuunga mkono inatosha..kodi zetu watuplekee 50M kila kijjijWalahi
Ni vitu gani huwa wanaunga mkono ?
Salalee!
Haijalishi. Lichama letu chadema ndio linaporomoka hivyo aisee kamanda.Mkuu mbona unashangaa? Magufuli ni rais mzuri mno,hana kasoro yoyote ile,na Tanzania haitapata rais bora kama Magufuli,tangu aingie madarakani uchumi wa Tanzania umepaa kwa 45%,ajira zimeongezeka kwa 38%, Demokrasia imeshamiri,Uhuru wa vyombo vya Habari umekua,sasa kwa nini wapinzani wasimuunge mkono?
Napendekeza Magufuli atawale milele.
CCM HOYEEEEEEEE......!!!
Hoja inapate nguvu wakati wabunge wa upinzani wanapukutika tuHizi zamu zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.