Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

Research psychologist angesema njia ya kuuliza swali labda siyo sahihi. Alipaswa kuwa more calm wakati wa kuuliza .
 
Watafuatilia vipi wakati budget zake hutumika kwenye matumizi mengine. Hii ndio athari ya kupuuzia mambo ya kitaifa. Zamani wakati nasoma siku ya uhuru na siku nyingine tunaimba na nyimbo kabisa tukikutana shule tofauti. Siku hizi hamna hizo mambo
Tunabana matumizi, huku tukipuuza matukio ya kihistoria muhimu kwa nchi.
 
Usikute hata huyo jeshi hamjui waziri mkuu wa zenji
 
Wawafahamu ili iweje? Wanamaanabu gani ya kufahamika?
Majina yao hsyapo kwenye mitaala ya shule
 
Unalaumu walimu badala ya kulaumu mfumo wa elimu yakiwemo maslahi na idadi yao, hawa wanasiasa ni shida......
 
Wanataka kusema Kwamba hawafundishwii au???
 
Kumjua raisi wa Zanzibar kunamsaidia nini mtanganyika (mwananchi) wa mkoa wa Mara!
 
Hakuna umuhimu wa wanafunzi hao wa Tanganyika kuelewa chochote kuhusu viongozi wa Zanzibar, au ndo kujipendekeza kwakua anaewalambisha asali ni wa huko?
 
Acha hiyo kuna sehemu wanajua Rais bado ni Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…