Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Research psychologist angesema njia ya kuuliza swali labda siyo sahihi. Alipaswa kuwa more calm wakati wa kuuliza .
Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV