Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujifunza siyo shuleni tu, ukitoa cartoon watoto wa siku hizi hawafuatilii sherehe za kitaifa ambazo mara nyingi unaweza kudaka vitu baadhi muhimu, kama kujua viongozi, historia ya taifa n.k.
Inasikitisha watoto wako makini kwenye singeli, bongofleva,, taarabu, vigodoro na tamthlia za kichina lakini hawajui chochote kuhusu masomo. Kuna shida mahali sio bure!Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema “Nimezunguka shule tatu tofauti nimepata mmoja tu ndio mjanja nikampa na Tsh. 10,000. Mtoto wa Darasa la Saba, mwaka huu anafanya mtihani kuhingia kidato cha kwanza lakini hana historia ya Nchi yetu, inaumiza.
“Tusiishie uangalia tu madaftari na sare za shule, nyie ni walimu, hii ni aibu.”
Chanzo & Video: Jambo TV
Kule kuna makamu wa kwanza wa rais na makamu wa pili wa rais; hakuna waziri mkuu kiongozi. Kwani mwanafunzi aliuliza waziri mkuu wa Zanzibar?Kwani Zanzibar Kuna cheo kinaitwa waziri mkuu?
Unashangaa watoto na huyu je wazir mkuu WA Zanzibar!!!??? Hii nchi Kuna shda hasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijaiangalia hiyo video lakini nataka nijue kama kweli RC amewauliza hao wanafunzi juu ya waziri mkuu wa zanzibar