Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mrejesho wa kikao? Huwezi kutupigia Mwl. Halafu eti wafanye kazi kwa ufanisidiwani wa kata Nkende, Daniel Komote amelaani kitendo hicho na kuwaomba walimu waendelee kufanya kazi kwa ufanisi.
Kichwa kikubwa,akili kiduchu.Suluhisho la kisiasa, fanyeni kazi kwa ufanisi acheni kuwapiga watoto wa wenzenu mkitaka zaeni wenu muwapige.
Inaelekea haujasoma alichosema msuluhishi.Kichwa kikubwa,akili kiduchu.
Kama hutaki mwanao apigwe baki naye nyumbani uwe una mfundisha weweSuluhisho la kisiasa, fanyeni kazi kwa ufanisi acheni kuwapiga watoto wa wenzenu mkitaka zaeni wenu muwapige.
Nimeshangaa sana. Hizi vichwa maji za kibongo bila bakora haziendi hata kidogo.Haki sawa ni janga la dunia, upumbavu gani huu hadi mwanafunzi asichapwe bakora?
We umefika hapo ulipo kwa viboko leo unaomba vifutwe...Adhabu ya vibiko ifutwe, kuna watoto wengine ata ukipiga ndio kwanza hata shule hatakanyaga tena, suala la adhabu ziangaliwe adhabu nyingine ambazo watoto wataweza kuzihimili.
Huo ni ubabe wa kijinga, mwanafunzi huyo afukuzwe hapo shuleni na mzazi wake akatafute shule ya kulipia, hapo atakuwa anapigwa yeye ada na mtoto hataguswaMwananchi mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyimano Ghati mkazi wa kata ya Nkende Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara amedaiwa kumpiga na kumjeruhi mwalimu wa shule ya msingi Nkende Mwl. Edina John kwa madai ya kuwa mtoto wake anayesoma shule hiyo alipewa adhabu na mwalimu.
Kufuatia tukio la mwalimu wa shule ya msingi Nkende kupigwa na mzazi, viongozi wa kamati ya shule hiyo wameitisha kikao cha dharula ili kuzungumzia tukio hilo ambapo diwani wa kata Nkende, Daniel Komote amelaani kitendo hicho na kuwaomba walimu waendelee kufanya kazi kwa ufanisi.
International Schools, Toto kaidi ni summary dismissal, no compromise!Nimeshangaa sana. Hizi vichwa maji za kibongo bila bakora haziendi hata kidogo.
Haya mambo ya no bakora wawaachie International schools tu
Hiyo adhabu inatumika vibaya kwa waalimu wengine.We umefika hapo ulipo kwa viboko leo unaomba vifutwe...