Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje.

Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma.

Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
 
Zenu na Nani? Yenu ni Taifa stars ya akina kib denis
 
Zijawahi kujitesa kwa kushabikia timu za Afrika, hata Taifa Stras haijawahi kunipa mzuka wa kuifuatilia
 
Inapocheza Taifa starts hua naona kama timu ya Ndondo cup inacheza hua sina mzuka kabisa wa kufuatilia
 
Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje.

Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma.

Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
Kwani hizi timu za taifa wanazochezea zinawalipa nini? Kama vipi waende wakacheze wanasiasa maana wao ndio wanaona faida ya kuwa raia
 
Tushapigwa tena na Ureno. Waafrika tunashindwa kulipizia Utumwa....tumebaki watumwa kwenye kila kitu.
 
Refa la mchongo hilo, mbali na penalty lililowabeba nayo Ureno lakini lilikuwa linagawa kadi za njano kama njugu kwa Ghana pekee, punguwani kabisa hilo [emoji35]

Tena kuanzia leo hii sina undugu na kenge yeyote aitwaye Chirstian Ronaldo kwa ufala ule wa penalty
 
Matatizo ni michezaji ya Ghana hasa mabeki. Ina upuuzi mwingi kule nyuma. Inafanya mzaha badala ya kuwa inasafisha mpira usikae.
 
Huwezi kushindana na aliye gundua kitu,hayo ndio matatizo ya kudandia mila na desturi za Watu wengine.

Angalia USA wana Basketball hata wasipo fuvu sio issue,angalia India wana cricket Moira kwao ni zaida,angalia Russia wana Ice hockey na ile michezo ya kuteleza kwenye barafu
 
Na mizungu ilivyo mibaguzi itahakikisha mpaka Dunia ina isha hilo kombe halitakuja kukanyaga Afrika.

Kila timu ya afrika lazima kupangiwa na wababe wa soka
 
Kombe linalofuata yan 2026 kuna possibility ya kufika hatua ya mtoano au 32 bora
 
Na mizungu ilivyo mibaguzi itahakikisha mpaka Dunia ina isha hilo kombe halitakuja kukanyaga Afrika.

Kila timu ya afrika lazima kupangiwa na wababe wa soka
Hapana. Cameroon wamepangiwa na team ambayo wangeweza wafunga. Tunisia nao walipangiwa na team ambayo wangeweza ifunga. Mbona Saud imewafunga Argentina? Miafrika tu mipuuzi haijitumi.
 
Back
Top Bottom