Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Zenu na Nani? Yenu ni Taifa stars ya akina kib denisSisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje.
Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma.
Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
Nyie ndo maana Qatar hawakutaka muende mkajitangaze.Zenu na Nani? Yenu ni Taifa stars ya akina kib denis
Kwani hizi timu za taifa wanazochezea zinawalipa nini? Kama vipi waende wakacheze wanasiasa maana wao ndio wanaona faida ya kuwa raiaSisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje.
Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma.
Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
Refa la mchongo hilo, mbali na penalty lililowabeba nayo Ureno lakini lilikuwa linagawa kadi za njano kama njugu kwa Ghana pekee, punguwani kabisa hilo [emoji35]Tushapigwa tena na Ureno. Waafrika tunashindwa kulipizia Utumwa....tumebaki watumwa kwenye kila kitu.
Matatizo ni michezaji ya Ghana hasa mabeki. Ina upuuzi mwingi kule nyuma. Inafanya mzaha badala ya kuwa inasafisha mpira usikae.Refa la mchongo hilo, mbali na penalty lililowabeba nayo Ureno lakini lilikuwa linagawa kadi za njano kama njugu kwa Ghana pekee, punguwani kabisa hilo [emoji35]
Tena kuanzia leo hii sina undugu na kenge yeyote aitwaye Chirstian Ronaldo kwa ufala ule wa penalty
Sio upuzi,wana zidiwa viwango na techniques unataka wafanyajeMatatizo ni michezaji ya Ghana hasa mabeki. Ina upuuzi mwingi kule nyuma. Inafanya mzaha badala ya kuwa inasafisha mpira usikae.
Hapana. Cameroon wamepangiwa na team ambayo wangeweza wafunga. Tunisia nao walipangiwa na team ambayo wangeweza ifunga. Mbona Saud imewafunga Argentina? Miafrika tu mipuuzi haijitumi.Na mizungu ilivyo mibaguzi itahakikisha mpaka Dunia ina isha hilo kombe halitakuja kukanyaga Afrika.
Kila timu ya afrika lazima kupangiwa na wababe wa soka