Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Mmmh saiv ukijichanganya tu unaua au unauawa satan limechachamaa kings stay vigilant ukichapiwa toka nduki ukifumaniwa pia toka nduki suluhu ndo mtego wa jela na kaburi
 
Huuu mwaka mtaisha wallah

Mkiambiwa tylieni hamtaki wengine mmetukaa tuna nyongo wengine hawana hizo kuvumulia woii
 
Wanawake ni bangua vichwa kila siku wanauliwa lkn hawajifunzi.kama wanataka kudanga si waendelee na biashara ya kudanga ili wajiepushe na vifo.juzi tu mwingine kapigwa risasi huyu naye tena duhhh
 
hiiboctober inadanya hawata wanaharusi wengine wagairi ndoa wallah

Namsikia mdogo wangu ananiambia br mi napanga tuoane nov huu mwezi matukio tamezido 😆
😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂

Akikutana na matukio Nov nahisi ataoa mwakani
 
Hao waliouana waache,mtu uhairishe jambo lako kisa watu wameuana Kwa ujinga wao.
 
Mara 1: kilimanjaro 1 (full time)
 
Kila siku humu dronedrake anajitahidi kutuonya hatusikii. Kataeni ndoa na mahusiano ya kudumu. Gonga na kukimbia guerilla tactics ndo dawa pekee. Wengi huko kwenye ndoa na mahusiano wanakomaa na kulazimisha furaha kwa nje lakini maumivu wanayopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…