Lipwebwete
Member
- Apr 14, 2021
- 41
- 73
😂😂😂Nina wivu ila kuna watu sijawafikia kubababake
😂😂😂Nina wivu ila kuna watu sijawafikia kubababake
Dr bingwa wa psychology tokana na distress nchi ya kusadikika alifariki duniani kwa distress, kifo ni fumbo.Unakuwaje wakili halafu unavunja sheria.
Mbona viongozi wa dini wanatenda maovu mkuu.Unakuwaje wakili halafu unavunja sheria.
Nipo huku buzebazeba usijali nakumbuka🤣Kuna kenge ilikula ada yangu ya chuo,, sijui inakatia mauno wapi siku hizi...
Bora we adaa m ilikuwa inakula boom yanguu BwasheeeeeeeKuna kenge ilikula ada yangu ya chuo,, sijui inakatia mauno wapi siku hizi...
Kuna kenge ilikuwa inanikonvinsi niisaidie ada (Tsh. 3,210,000/yr) kwa miaka mitatu. Nimegoma sasa eti imenila bloku. Orientation chuoni nadhani ni wiki ijayo. Good riddance! 🚮🚮🚮Kuna kenge ilikula ada yangu ya chuo,, sijui inakatia mauno wapi siku hizi...
Lilikushikia panga?Bora we adaa m ilikuwa inakula boom yanguu Bwasheeeeeee
Ndio maana namin mbinguniwanaume n wengi kuliko hawa ...
Yaan nasotaaa wali maharage palee udsm manzese rest lenyewe linakula chips mwisho nashtuka aisee mwaka wamwisho loh
Bila shaka alikuwa anapata utelezi 😂😂😂Lilikushikia panga?
Kenge mnaitwa huku mje mjitetee kuwa ninyi ni yatima hadi mwatwishe majukumu ya wazazi wenu Me au tamaa?Kuna kenge ilikuwa inanilazimisha niisomeshe (Tsh. 3,210,000/yr) kwa miaka mitatu. Nimegoma sasa eti imenibloku. Shwaini kabisa! 🚮🚮🚮
Nipe nikupeBila shaka alikuwa anapata utelezi 😂😂😂
Kuna nini jamani? What's going on? Mbona hivi?Achana na mwanasheria kuna mwingine huku kutoka kigamboniView attachment 3685245View attachment 3685246