secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kabisa mahi!Una akili sana mahi.
Nifungulie kabisa Uzi huku ukiutangazia umma jinsi nilivyo na akili ya kutosha.
Kabisa mahi!Una akili sana mahi.
Ntakushangaza papii, we subiri tu! Andaa kabisa kibunda..Kabisa mahi!
Nifungulie kabisa Uzi huku ukiutangazia umma jinsi nilivyo na akili ya kutosha.
Naisubiri hiyo sapraizi kwa hamu na gamu, maiwangu.Ntakushangaza papii, we subiri tu! Andaa kabisa kibunda..
Ushamba,ujinga,upuzBado wanaume wanapiga mwanamke?
Aisee!!
Duh,mumuwahiKuna Jamaa yangu kwa jinsi alivo na stress na mkewe naona kabisa huu upepo utampitia...
Mganga hajigangiUnakuwaje wakili halafu unavunja sheria.
Walitengana mwaka mmoja baada ya mwanamke kudai kutishiwa siraha, wamerudiana ila jamaa hana imani.Duh,mumuwahi
Ova
Siungi mkono hoja. Kuna watu ingawa ni wachache wanastahili kuoa/kuolewa!.Wangefuata ushauri wa KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI sa hivi wasingekua kwenye haya matatizo..........
DuhWalitengana mwaka mmoja baada ya mwanamke kudai kutishiwa siraha, wamerudiana ila jamaa hana imani.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Keneth anadaiwa kumshambulia Magreth kwa kumpiga kichwani kwa kutumia kitu butu, kabla ya kumchoma kwa kitu chenye ncha kali katika maeneo mbalimbali ya mwili.
Jeshi hilo limesema Magreth alipoteza maisha kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, baada ya Keneth kupata taarifa kuwa mpenzi wake alikuwa akimsaliti kwa kuwaingiza wanaume wengine ndani ya nyumba wakati yeye akiwa hayupo.
Kwa wazungumzaji wa Kiingereza
Police in Mara Region are holding lawyer Keneth Nkiko, 28, over the alleged killing of Magreth Richard, 22, a trader and resident of Musoma Municipality.
Mara Regional Police Commander Pius Lutumo said the incident occurred at around 4am on Monday, October 5, 2026, in Mwigobero Street, Musoma Municipality.
According to Commander Lutumo, Nkiko, who provided legal assistance to victims of gender-based violence, is alleged to have attacked Ms Richard, who was his girlfriend, hitting her on the head with a blunt object before stabbing her several times.
“She was hit on the head with a blunt object and then stabbed with a sharp object, causing multiple injuries. She lost a lot of blood and died at the scene,” Commander Lutumo said.
He said preliminary investigations indicated that jealousy may have been the motive, with the suspect allegedly accusing Ms Richard of having relationships with other men.
Commander Lutumo said police were continuing with investigations into the incident.
Kuna nini jamani? What's going on? Mbona hivi?
Kwanini hana imani, chanzo cha mgogoro ni nini?Walitengana mwaka mmoja baada ya mwanamke kudai kutishiwa siraha, wamerudiana ila jamaa hana imani.
Kabisa mkuu,, mwanamke ni wa kupuuza na kuangalia maisha yako,,Ushamba,ujinga,upuz
Itakuwa watu dizaini hizi
Wamejulia mapenzi ukubwani,hawajawahi umizwa kihisia
Ova
Na wewe utafungwa kwa murder case..Msipio acha umalaya na tamaa za pesa hakika mtakufaa