MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mzee Loose Nut utaendelea kula kwa macho hadi lini? Mtafute huyo manzi umtongoze.
Mzee Loose Nut utaendelea kula kwa macho hadi lini? Mtafute huyo manzi umtongoze.
Wanaume mnalemewa na wivu kwa kulewa mapenzi, mnaua mno sjui ni stress au ukosefu wa pesa hata sielewi!Kuna nini jamani? What's going on? Mbona hivi?
Ulibet shing ngapi tugawane?Mara 1: kilimanjaro 1 (full time)
Na comment yako imefutwa, vinnie hawezi bwana, mpole vile🙂Haya yote yanasababishwa na CCM. Niaminini Mimi.
Nilikuwa naenda ku cc, kumbe tayari umetia timuKila siku humu dronedrake anajitahidi kutuonya hatusikii. Kataeni ndoa na mahusiano ya kudumu. Gonga na kukimbia guerilla tactics ndo dawa pekee. Wengi huko kwenye ndoa na mahusiano wanakomaa na kulazimisha furaha kwa nje lakini maumivu wanayopitia.
Mupenzi wako ana mupenzi wake.Kudaaaaaadaaadeeeekiiii!Kaa mbali na mpenzi wako SHETANI APITE!
Hahahahahaaaaa haya bana 🙌🏿Nilikuwa naenda ku cc, kumbe tayari umetia timu
haya kulikoni wagalatia na kuuwa wanawake huu msimu ?
Comment nimeifuta mwenyewe. Nilijua yeye kapotea tu na anatafutwa, kumbe Kaua na kukimbia 😂Na comment yako imefutwa, vinnie hawezi bwana, mpole vile🙂
Too shallow. Unafikiri mpaka mtu anafikia kuua ni jambo rahisi? Likely ni kutumiwa sana mtu unajitolea mpaka kile kidogo ulichonacho ukiamini kwamba mko kwenye same page kumbe mwenzio anakulia timing. I don't condone mauaji lakini hata nyinyi mabinti hamuwezi kujiondoa kwenye uhusika wa kinachoendelea. Maisha ni magumu. Kama huna mpango na mtu, don't let him invest so much in you. Kuna watu hawana vifua!Wanaume mnalemewa na wivu kwa kulewa mapenzi, mnaua mno sjui ni stress au ukosefu wa pesa hata sielewi!
Yamezidi au sababu ya mitandao siku hizi inakua rahisi kupata habari in a real time?...Haya matukio yanazidi kila kukicha, Duh
Una akili sana mahi.Comment nimeifuta mwenyewe. Nilijua yeye kapotea tu na anatafutwa, kumbe Kaua na kukimbia 😂
Nime-type kwa kiherehere, nimefuta baada ya kuona nimeandika pumba.
Why do u think this about investment na sio wivu tu na mambo ya kijinga?Too shallow. Unafikiri mpaka mtu anafikia kuua ni jambo rahisi? Likely ni kutumiwa sana mtu unajitolea mpaka kile kidogo ulichonacho ukiamini kwamba mko kwenye same page kumbe mwenzio anakulia timing. I don't condone mauaji lakini hata nyinyi mabinti hamuwezi kujiondoa kwenye uhusika wa kinachoendelea. Maisha ni magumu. Kama huna mpango na mtu, don't let him invest so much in you. Kuna watu hawana vifua!
Mkuu, niombee namba zake, nina hadithi nyingi za mwaka 47 nataka nimsimulie 🤪