Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Angeuliwa mama yake au kutekwa mdogo wake na wasiojulikana angeishia kumtumia Twaha Mwaipaya au Maria Sarungi ampazie sauti, ila ishu ya mwanamke uliyekutana naye ukubwani ndiyo unataka kuonesha UANAUME, ni msenge, apigwe miaka 1000, Pole sana kwa familia na ndugu wa huyo binti.
Nataka watu waoneshe uanaume kwa wasiojulikana, tofauti na hapo ni usenge tu
Nataka watu waoneshe uanaume kwa wasiojulikana, tofauti na hapo ni usenge tu