Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Hii habari sijaielewa vyema inaamana mwanasheria alikua anashiriki mapenzi ya jinsia moja alikua lesbian
 
Aisee watu wamekosa uvumilivu kabisa
mwanasheria kajichukulia sheria mkononi kaona bora agawe majengo

pole kwa familia zote mbili
mapenzi yana maajabu mengi sana!
 
Wadada kuweni real, haya maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna mwanaume ata'invest kwako then ukimzingua akuchekee, kama huna time na mtu mpotezee, kama mnakubaliana kuchapana for fun wekaneni wazi, lakini unataka ule huku na huko wakati huo unamuaminisha ni yeye tu, men will massacre you daily.
 
Mliopo kwenye ndoa kaeni ki masta,shetani yupo kazini.


1791313893349.jpg
 
Why do u think this about investment na sio wivu tu na mambo ya kijinga?
Wivu tu na mambo kijinga? Is this your best hypothesis? I consider you to be an intellectual; and please don't let me down.

Wivu wa kijinga may just be a trigger but if you dig deeper, I am sure, there are other interconnected reasons behind this epidemic - economic, mental, psychological etc.
 
kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22
Mtoto wa 2004 kakutana na mtoto wa 1998 hizi ni generation 2 tofauti kabisa hapo lazima kiwake nishaelewa nini kilochotoke, RIP in advance kwa Marehemu pole nyingi ziwafikie wafiwa na pole ziwafikie ndugu na jamaa za aliesababisha mauaji hayo bwana Wakili asiekua Msomi maana hakuna Wakili Msomi anaechukua maamuzi ya kuua ikiwa anatambua fika kuua ni kosa kisheria
 
Ili muwatese wadada wa watu? Hapana komaeni na hao pisi kali muuane.

😀
Kuna kamanzi kangu ni kazuri kinoma yaan ninavyopenda kukasifia kila siku nikikaambia wewe ni mzuri utanipa taabu huko mbeleni tusije tukauana tu kanakataa kwamba kenyewe sio kazuri ni ka kawaida ila ni kisu kikali mtoto fulani hivi mguu mguu kweli shepu shepu kweli imesimama sura inaita inaitika ukikojoa unasema eeh leo nimekojoa pazuri na sisi wengine ndio wadhaifu wa kupenda miguu ndio tumemalizwa kabisa ila siui mtu hata iweje
 
Back
Top Bottom