Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

Amemuua kisa wivu wa mapenzi au amemuua kisa usaliti?
Vyote kwaa pamoja inaweza ikawa kisa kala pesa zake then anamwambia tuachane it's over kuanzia leo mimi na wewe basi sitaki tena unikome futa namba yangu na usinijue kuanzia leo unajiona mwanaume upo peke yako kwenda kule..

Usishike Bastora Mwanaume
 
Wanawake wote ambao wapo latika mahusiano ya kimapenzi chukueni tahadhari. Mauaji yanazidi kuwamaliza.
Anarudia tena wanawake/wasichana mlioko katika mahusiano ya kimapenzi chukueni tahadhari la sivyo mtakwisha.
 
Inasikitisha sana!! Udangaji ,umalaya kwenye ndoa/uhusiano ndiyo chanzo ,afya ya akili ni kubwa ukimixx by yas mtu lazima akuPyupyu au nchakali ihusike.
Sio poa kabisa yote huanza na maneno makali na ya kuudhi, kudharau na kutweza utu wa mtu pasinakujali gharama alizotumia kuanzia gharama ya muda na nyinginezo ikiwemo fedha alizowekeza kisha mradi unafia njiani na maneno ya kejeli kashfa na kuudhi ..wewe Mwanaume gani Mwanaume utakua wewe una uanamume gani wewe eeh? Achana na mimi... nimesema niache nenda kwaa hao malaya wako

Kweli maneno ya shombo nayo yana trigger hasira.
 
Huwa najiuliza hawa wanaoua wenzao ndio kwamba wanajua sana kupenda au mawenge tu, wengine wanasema mwanaume anakua amewekeza kuna wanaume hawatoi hata vocha nao unakuta wanavimbaa shida inakua ni gani? Kijana mdogo ameharibu maisha yake kiboya sana.
 
Back
Top Bottom