Habarini wana jamvi?
Napenda tujuzane mara ya kwanza kubet ilikuwaje na ulijiskiaje baada ya game upizobetia kumalizika?
Binasfi mara ya kwanza kubet nilikuwa nakula bia mahala uku nacheki mechi za EPL mara jamaa yangu mmoja akaja na mkeka mkononi. Mida ya saa 2 unusu akacheka kwa kishindo etiii nimemuuuuua. Mhmm nikashtuka nikamuuliza vipi mzee unataka kufaaa?!? Akatoa mkeka wake duh laki 8 kama na arobaini hivi. Tamaa mbaya sana.
Nikatamani hatari hafu nikavuta picha ningekuwa mimi ndo nimekula hiyo laki 8 ingekuwaje. Nikaipangia bajeti pale fasta fasta ikaisha. Mhmmm next week nikaamua na mimi niweke mikeka miwili nipige 1.5M. Mhmmm pindi game zinaanza ndipo nilijua jamaa wanaobet hawana magonjwa yasiyoambukizwa. Yaan nilihisi pressure rise and fall.
Jasho hadi chini ya macho. Mbaya zaidi nikaaiiua hadi timu yangu hafu naona tunashindaaa kushangilia ilikuwa ngumu sana. Kuna mdau akaniuliza vipi leo mbona hupigi kelele? Nikajibu huoni game nyepesi hii? Mikeka yote ilichanika, 50000 yangu ikapotea. Ukweli sijajaribu tena.
Nipe yako mkuu.