Huu ni uzwazwa kuleta tamthilia za fasihi and andishi kama Stori za Shigongo ..sa kama hakujipanga kwa nn alete uni kam huu alafu atuahidi anarudi ..basi km vp apogee tu asirudiHebu Ngoja kwanza. Ni wewe au Unatuletea Hadithi za Kutunga.? Mambo ya. ITAENDELEA yanatoka wapi
Miaka 19 unauwezo wa kuandika rufaa za kesi, imekaaje hii[emoji848]SEHEMU YA PILI
Wakati kesi ikiendelea Katika Mahakama ya wilaya mkoani x nilianza kushauliwa na ndugu na Jamaa wangu wakaribu kuwa niende kwa Mganga kumaliza hii kesi
Baada ya kupewa ushauri , Mimi nilikataa kutumia Ndumba zozote Bali nilisema ikitokea nimefungwa itabidi nitumikie tu kifungo .
Wakati kesi ikiendelea nilimuomba sana Mungu anivushe maana sikukusudia mtukana Rais bali ni yeye Raisi ndo alituletea Maneno ya kuhudhi kipindi kile amekuja Bukoba na kudai kuwa Hatowapatia Wahanga wa Tetemeko hela zao tulizowachangia. Na Mimi ndipo Nilimtukana Live kwa kumuita katili asiyekuwa na Huruma dhidi ya Binadamu wenzio .
Jambo hilo lilizua Gumzo kwani niliongea hayo Maneno Mbele yake na nilikuwa na umri Mdogo 19 years tu.
Zipi sababu za kufariki wapelelezi was kesi yangu wote .
Ukweli hawa wapelelezi waliniomba sana pesa ili kunisaidia na niliwaambia hakuna pesa ya Bure. Jambo ili liliwakera hadi kuanza kunikandamiza Mahakamani ili tu nifungwe.
Nilichofanya Ni kuwaombea Dua tu kuwa washindwe wao na nia zao hasi juu yangu.
Maaajabu hii kesi watu 90% walikuwa upande wangu kuanzia hakimu , wanasheria wa serikali hadi Wananchi.
Hivyo Basi Hakimu na mwanasheria was serikali na DPP wote walisema dogo yupo kwenye haki na anabidi kuachiwa huru maana huyu Rais amezidi kuendekeza kunyanyasa watu.
Jambo hili lilinifanya nimshukuru sana Mungu kwani ukiwa upande wake hakuna linaloshindikana.
Maisha ya Gerezani , ukweli Gerezani hasa Tanzania sio sehemu salama maana watu wengi wananyimwa haki zao muhimu Kama kula , kuabudu , kusoma n.k
Kuhusu ushoga Mimi Jambo hili sijaliona Wala kulisikia maana Mimi nilitengwa nikawa tunakaa sero yenye watu 04 tu VIP maana Mimi nilikuwa moja ya watu waliokuwa wanaogopwa wakidhani eti Mimi natumiwa na Tiss hakika maaskari wetu kitaaluma Bado sana.
Hali za watu Gerezani
Kiukweli niliwaona watu wamekonda na wamechoka sana na wamekaa Gerezani Muda mrefu wakiwa mahabusu , Aisee hapa panaumiza watu haki. Zao zinavunjwa sana
MSAADA WANGU NIKIWA GEREZANI WAFUNGWA
Nilifanikiwa kuwaandikia watu 05 rufaa zao waliokuwa na kesi mbalimbali na sasa wapo huru 03 na wawili wamepunguziwa Adhabu kutoka life sentences hadi miaka kadhaaa.
Ni hayo tu ndugu zangu.
NYONGEZA
Ukweli ni kwamba wapelelezi walifariki baada kesi yangu kufutwa mahakamani pia hata Mwanasheria wa serikali aliyepewa Ujaji alipewa baada ya kuwa amefuta kesi yangu
Japo haya Matukio yalifatana sana. Ilikuwa ni ndani ya Mwezi mmoja .
VAR inasemaje kuhusu malinda yako?Ilikuwa 2017 nilipoingia Gerezani kwa mara ya kwanza kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Rais wa Tanzania kipindi hicho John Pombe Magufuli.
Kweli wakuu Nilimtukana Rais wa JMT tena kwa lugha Kali hii ni baada ya Kupata hasira za hapa na pale.
Ilikuaje nikamtukana Rais maneno makali, hapa ni baada kusikia kuwa hela za Tetemeko tulizowachangia wahanga hazitowafikia hata senti 100.
Hakika jambo hili lilinifanya kumtukana Rais matusi ya kutosha.
Baada ya kumtukana Rais nilikamatwa na Makachero na kuniweka kizuizini siku 08 ndipo nilipewa dhamana.
Baada ya dhamana niliendelea kuripoti kituo Cha police kila siku.
Na baada ya hapo nilipelekwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka 03 yote yanahusu kumtukana Rais na kumdhalilisha.
Baada ya kufika mahakamani nilikana kosa na kupelekwa Gerezani moja kwa moja maana nilikosa wadhamini.
Nilikaa Gerezani siku 23 ndipo nilipatiwa dhamana.
Kesi yangu ilichukua Mwaka 1 tu na niliachiwa huru na wale wote wapepelezi kutoka upande wa Jamhuri walifariki wote na Mwanasheria aliyeniachia huru kupitia Nole sahivi Ni jaji wa Mahakama kuu Maana aliteuliwa na Magufuli 2019.
Maisha ya jela
Ukweli Ni kwamba Gerezani Kuna watu wanaishi vizuri sana kama vile wapo nje pia kuna watu wanaishi motoni
ITAENDELEA
JE ILIKUAJE NIKAACHIWA HURU KWA KESI NZITO KAMA HIYO LICHA YA KUTOKUWA NA PESA.
Anatuona sisi maphalerr huyuhii chai imepoa kabisa eti uliwaandikia mahabusu wenzako 05 rufaa zao kwanza hapo ulikuwa na elimu gani na uzoefu upi hadi ukaandikia rufaa mahabusu wenzako kwanza tangu lini mahabusu akawa na rufaa kabla ya kuhukumiwa maana umesema mwenyewe kipindi hiko ulikuwa na miaka 19 tu..acha kutufanya sisi mazuzu
Rufaa Ni Kama barua mkuu hapo ni huwezo wako mzuri wa kuwasilisha hoja na kujua kuandika kizungu tu ebu fatiliya kwanzaMiaka 19 unauwezo wa kuandika rufaa za kesi, imekaaje hii[emoji848]
ww kweli ujielewi ujui hata kipi hasa unachokitetea humu kwa miaka yako wakati huo 19 kibongo bongo wengi kuwa na elimu gani umri huo.. ata kama kizungu kinapanda ndo ulikuwa unajua kabisa lugha ya kisheria na vifungu vyake hadi kuandikia barua za rufaa kwa kuonesha matobo ya kisheria tena kwa facts na vifungu kwenye hukumu ya mahakama ya wilaya kwa miaka 19 yako! au pengine mimi ndio sijui labda barua za kukata rufaa ya hukumu zinaandikwa kama barua ya hawara tuRufaa Ni Kama barua mkuu hapo ni huwezo wako mzuri wa kuwasilisha hoja na kujua kuandika kizungu tu ebu fatiliya kwanza
Rufaa? Hii hii rufaa?? Acha ujinga na uongoRufaa Ni Kama barua mkuu hapo ni huwezo wako mzuri wa kuwasilisha hoja na kujua kuandika kizungu tu ebu fatiliya kwanza
Ngese sana hii dogo.hii chai imepoa kabisa eti uliwaandikia mahabusu wenzako 05 rufaa zao kwanza hapo ulikuwa na elimu gani na uzoefu upi hadi ukaandikia rufaa mahabusu wenzako kwanza tangu lini mahabusu akawa na rufaa kabla ya kuhukumiwa maana umesema mwenyewe kipindi hiko ulikuwa na miaka 19 tu..acha kutufanya sisi mazuzu
Acha ujinga kijana. Sisi mbona tulikichangia chama chetu pale Mbagala (uchaguzi mkuu), na matokeo yake mwenyekiti wetu michango yetu akaenda kuzipigia bapa zote usiku ule. Sisi wala hatukumtukana. View attachment 2204052
Kiswahili hujui kizungu ndiyo utajua?Rufaa Ni Kama barua mkuu hapo ni huwezo wako mzuri wa kuwasilisha hoja na kujua kuandika kizungu tu ebu fatiliya kwanza
Ilikuwa upepo tu, upepo tu.Dah!... Nini sababu ?
Hivi nyampara ni mfungwa mwenzako au askari magereza?Gereza ni sawa na kuzimu, nyampara kijana mdogo anampiga mzee mtu mzima bila heshima kwa kosa dogo, ila kuna ambao wanaona gereza ni paradiso, wanakula chakula cream na wana afya kuliko maisha yao ya nje. Nyampara ndio huishi vizuri gerezani
Hawezi kusema kama aliliwa atakanusha tu kama alivyokanusha mwanahiphop wetu aliyekimbilia MarekaniKashasema hakuliwa hapo kwenye Part II; sijui ni kweli hakuliwa au anatudanganya?