Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #221
Anza kuomba namba hapa jf naaza kukupa yangu au ulifuta?Ndio sanaaa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kuomba namba hapa jf naaza kukupa yangu au ulifuta?Ndio sanaaa tuu
😀Nitakupigia soon tuNatamani😋
Mambo yenu nawaachia wenyeweHalf american njoo uchukue mpwa wako bhna anasumbua ashibi dona 😂😂
We pimbi nini😂Ahahah
ha wewe si umesema umtaki huyo?
Si bora dada yako hii mimba angetoa tu 😂😂Mambo yenu nawaachia wenyewe
Huyo ndio dada yangu sanaKhaaa kwamba😂😂
Umtaki tena mwanao siyo unamuita mwanaume baada ya kumfundisha umalayaWe pimbi nini😂
Nmtake mwanaume mwenzangu wanini
Ahahah unapenda kudeka last bornHuyo ndio dada yangu sana
Nakuita kutokea pmNakuja Boss..Unaniita kutokea wapi? Is everything ok? Copy 🤣👋
Uo umalaya kajifunzia huko mimi siujuiUmtaki tena mwanao siyo unamuita mwanaume baada ya kumfundisha umalaya
😂😂😂 bas nimekoma ukoo wote utanichamba kisa last born wao🥰😍 huyo Johnnie Walker anabisha au nimuite na Clepatina
Wewe uncle umesema utampa connection ya mashangaziUo umalaya kajifunzia huko mimi siujui
Yako ninayo mbona ninayo mkuu .Anza kuomba namba hapa jf naaza kukupa yangu au ulifuta?
ipo kwa ajili hiyoPM ya nini si aongee hapahapa😂
Nukuu niliposemaWewe uncle umesema utampa connection ya mashangazi
endeleeni tu mimi sitii neno 😅ipo kwa ajili hiyo
Wazungu wanasema Ai kanti waiti😍😊😀Nitakupigia soon tu
Vip kwan au kuna kanamnaendeleeni tu mimi sitii neno 😅
Apana chezea last born😂😂😂 bas nimekoma ukoo wote utanichamba kisa last born wao