Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Mara chache sana...

Na ishatokea sana mtu kukosea namba na kunitafuta basi hizo story ninazo mpaka hajutii kwanini kakosea namba.
Conclusion; mara ya mwisho kupata new number ni jana..
 
Mara chache sana...

Na ishatokea sana mtu kukosea namba na kunitafuta basi hizo story ninazo mpaka hajutii kwanini kakosea namba.
Conclusion; mara ya mwisho kupata new number ni jana..
Wewe utakuja kuongea na majini
 
Nimeingiwa na kaugonjwa kakuchukua namba afu sizi'save', siku natafutwa naanza kuuliza Nani?
Kama mwana atanielekeza ila mademu wengi huwa ndo inakuwa mwisho wa mawasiliano.
 
Back
Top Bottom