Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Mara ya mwisho kupata new contact lini?

Me nina majina 95 tu...
Huwa sina kawaida ya kuomba namba,ukiniomba wewe nakupa ila ukinichek sisave mpaka unipe mchongo au nione unafaida na me
Wewe sasa ndio mtanzania sawa na mimi na kama mchongo naona mswahili nafuta namba
 
Back
Top Bottom