Mara ya mwisho kupima HIV ni lini?

unakuwa unajua

.afya yako af unakuwa huna wasiwasi ata ukiluka bila kondom
Basi ngoja nikuache.....unajua afya yako kivipi hvi unajua magonjwa yapo mengi mnooo wewe, kujua HIV status tu ndo utakuwa umejua afya yako!!!!kwa taarifa yako sijawahi kupima toka nizaliwe na sina wasiwasi naporuka bila kondomu......wewe utakuwa below 25 kwa akili hzi
 
sawa mkuu kila mtu na mtazamo wake
 
Mm mara ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwishoni hv nilipoenda hospitali kuchangia damu then nikapigiwa kuja kuchukua majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…