Mara ya mwisho kupima HIV ni lini?

Nina mwaka sijapima ila leo nimeamua kupima natumia kipimo hiki cha mate vipimo vya kutoboana na sindano kwangu sivipendi.

Je, wewe mara ya mwisho kupima lini kama ujapima pima?

View attachment 3088593
Matendo yako ndiyo anguko lako! Kama unafanya zinaa hovyo bila tahadhari, unapaswa si kupima tu bali kuwasilisha gharama za mazishi yako kwa mwanasheria kabla hujafa!
 
ahahha babu umetisha
 
Matendo yako ndiyo anguko lako! Kama unafanya zinaa hovyo bila tahadhari, unapaswa si kupima tu bali kuwasilisha gharama za mazishi yako kwa mwanasheria kabla hujafa!
ahhaah bas naomba lambilambi yangu
 
Nikienda kuchangia damu wanapima vitu vingi sana, japo majibu unapata baada ya wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…