Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nna kilo kama za kuku vip unataka unibebe?Jibu swali langu basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nna kilo kama za kuku vip unataka unibebe?Jibu swali langu basi
Nataka kunywa supu.Nna kilo kama za kuku vip unataka unibebe?
Labda ile supu nzito nyeupeNataka kunywa supu.
Kg 55 mtu mzima hiyo ni sign ya malnutrition Hufai hata kumchangia mtu damu etiiiiMimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
😂 chizi wee.Labda ile supu nzito nyeupe
Huitaki nimpe mwingine anywe?😂 chizi wee.
Nimekuambia nataka supu ya kuku.Huitaki nimpe mwingine anywe?
Sasa mimi supu yakuku sinaNimekuambia nataka supu ya kuku.
Nna supu nyeupe nzito nzito
Wewe anza kula makande 🤣Leo, kg 78.5, urefu 178cm. BMI yangu itakuwa ngapi hapo?
Umepigaje hapoo😄Wewe anza kula makande 🤣
Mkuu kuna mtu anapimaga uchi?Vua viatu na jeans kisha pima tena. Ukifika japo 50 njoo uniite mbwa😊
Sujamuambia apime uchi lknMkuu kuna mtu anapimaga uchi?
Btw jeans trauser ukilihang kwenye mizani ni 2.0kg.
Nilimaanisha vipimo vyote pamwe majibu hufanyika na kutolewa bila kupunguza mavazi alovaa mtu.Sujamuambia apime uchi lkn
Sio vyote. Kuna vingine unaambiwa vua viatu na sitaki tubishaneNilimaanisha vipimo vyote pamwe majibu hufanyika na kutolewa bila kupunguza mavazi alovaa mtu.