Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Ngugu zangu embu nipeni ushauri kuhusu lishe yenye kusaidia kuongeza kg kadhaa za mwili. Hii 66kg nimeshahitimu nataka sasa nifike angalau 77kg.
 
Sio kwa lile guu, utakua kwenye 80-90
Yule sio mimi, halafu miili yetu wanawake inaongezeka na kupungua kwa mwaka hata mara mbili, ukiniona feb nikiwa bonge tukikutana November nimepungua mpk unashangaa pia periods zinatubadilisha miili kariba na hizo siku huwa tunavimba kiaina
 
Back
Top Bottom