Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tena kubwa sana...twende GymKuna shida Demi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kubwa sana...twende GymKuna shida Demi?
Nyama kapunguza sana kula shida ipo kwa soda. Tumeongea sana hasikii tumeona tumuache.Mwambie apungize kunywa soda na kula nyama
Sahivi 105kg urefu 195cm
nikajua naweza kukubebea kwa corner kumbe dah😂
Jaman 65 nyingi? Yaan hapa napambana zifike 75 😁😁nikajua naweza kukubebea kwa corner kumbe dah😂
Unataka useme, Jamaa amenenepa siku ya mnada 🤔🤔Hapo ulipima ukiwa ushakula au?
Kama ni ndyo nenda kapime upya huenda kilo zako halisi ni 43
yawezekanaUnataka useme, Jamaa amenenepa siku ya mnada 🤔🤔
65 kwa mwanamke.....
Wala hata. Mimi ni mwembamba na bado natamani kuongezeka.65 kwa mwanamke.....
Huyu ni almost bonge.
😂😂 no way mwanamke mwembamba akawa ana 65.
77According to your uzito..
Tutahitaji na umri wako ili tujue una matatizo gani wewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilo za wenzetu hizo ujue
Ni mrefu ndio. Nina 172cm[emoji23][emoji23] no way mwanamke mwembamba akawa ana 65.
Labda mrefu sana au Bichwa [emoji23][emoji23]