Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Huyu jamaa kama mm tu, nimefatilia comments sioni hata anayeongelea misosi ya kuongeza uzito kidogo, Sina stress lkn nmepungua sana nini shida wazee! NB Sina ngoma, Nahtaji Cha kufanya nirudshe kilo 5 zangu.
 
Back
Top Bottom