KabisaTunaoishi vijijini kwetu haituhusu hii nadhani
Najua wengi wetu tuko mijini kiutafutaji,lakini kiasili tuna maeneo yetu ya asili ambayo tunatokea,wengine husema kwenye asili ya ukoo.binafsi weekend iliyopita nilikua huko.Haijalishi kama babu na bibi walishafariki au la lakini bado naamini kuna ndugu wapo..je unakumbuka mara ya mwisho kwenda kijijini kwenu ni lini?
Ndio mkuu kuhesabiwa ni fahari..Pia tunaenda kuangalia what's poppin..Mijengo mipya iliyodondosha nini nini..Na kikubwa tunakutana na marafiki wa zamani sababu wengi pia wanarudi kuhesabiwaSafi sana...nadhani mnaongoza kwa kuthamini kwenu..kuhesabiwa sio?
Ndekai napajua aisee we ni ndugu kabisa... Keimasumni ndio nyumbaniAisee unaweza ukawa ndugu yangu..kwa mama huko..unakujua Ndekai?
🤫🤫🤫🤫
Nakubali kaka..nadhani hii pia inaongeza hasira ya utafutaji kwa wengi wenu,unakuta jamaa yako mlipiga wote shule unaoneshwa mjengo wake,na kama unavyojua wengi wanamiliki ndinga za maana.,kwahiyo inastimulate utafutaji.Ndio mkuu kuhesabiwa ni fahari..Pia tunaenda kuangalia what's poppin..Mijengo mipya iliyodondosha nini nini..Na kikubwa tunakutana na marafiki wa zamani sababu wengi pia wanarudi kuhesabiwa
Nyie mtuambie lini mara ya mwisho mmekuja mjiniTunaoishi vijijini kwetu haituhusu hii nadhani