Mara ya mwisho ulilia lini? sababu gani ilipelekea ukalia?

Kwani kulia kanisani (crying for the Lord) nayo mnaijumuisha?
 
Hivi karibuni...tena ukunga wa maana, si unajua kulia ni kutoa uchungu usiumize viungo?
 
Ana moyo mkuu
Hata mimi pia ninao, hata wewe unao. Kilio kinakuja pale unapomkabidhi moyo wako mtu asiye sahihi akulindie, lazima UTALIA.
 
Hata mimi pia ninao, hata wewe unao. Kilio kinakuja pale unapomkabidhi moyo wako mtu asiye sahihi akulindie, lazima UTALIA.
aaah ila ndugu yangu haya mambo uamue wewe kumuacha ila sio uachwe ile paaap
 
Mi kuna siku mama mzazi alisema anaumwa mafua na kazidiwa nikajua ni corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…