Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima kuwe na baraka ilio na nguvu. Vile vile kama ilivyo laana kuwa haitoki kirahisi rahisi hivyo hivyo hio baraka special ndani yake haitoki kirahisi rahisi.
Na baraka hii anakuombea kila siku ila naamini itakuwa maradufu kama pale utakapo mkumbuka mama yako kwa nama ilio special, mara kwa mara na ukimuombea afya njema (sala) mara moja moja pale unapokutana naye au kumpigia.
MPIGIE MAMA SASA HIVI NA UMTAKIE SIKU NJEMA.
KWA WALE MAMA ZAO WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI, NAWAOMBEA AMANI NA PUMZIKO HUKO WALIPO🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
www.jamiiforums.com

Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%
Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...