Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Miki mzee akipiga ni suala la maokoto sasa kuna mda kama sina kuna maneno anaweza kutoa yakakufanya week nzima upo unawaza tuu..

Sasa kumpigia ni sawa umejitafutia matatizo
Maneno ya mzee wala yasikupe stress sababu wewe ni mbugu yake.
 
Why mama !? Kwamba baba yeye si wa muhimu ukimlinganisha na mama,nawalea watoto wangu katika kutambua uthamani wa baba na si mama,hata Mimi Sasa ukiniambia kuhusu mama sikulewi,tell me about baba.


Tunahitaji mabadiliko katika malezi,na sitaki mke wangu aonekan wa muhimu sana katika malezi ya wanangu
 
Mi mama akipiga utakuta ananiuliza mambo ya simu mara sijui wasp yake imefanyaje an hatareee tupu.

Hapo ukimuuliza angalia salio una mb ngapi anakwambi zipo 53 yaani nachoka aiseee
Mimi Hadi vocha sometimes nampiga virungu anaweza akaukpigia anasema oya sogea pembeni kidogo kama umekaa na watu ujue hapa Kuna kakikao kidogo 🤣🤣🤣
 
Haulizii Yavuzi Yavuzi ?

Yavuzi
Mkuu Jiunge na Group la WhatsApp kwa Ajili ya kupata pesa bila kuvuja jasho...

Hii ni fursa yako kijana mwenzangu so

📝 Kinachohitajika:

1. Chagua group unalotaka ni VIP (YAKUZ) au NORMAL (YAVUZ): Tembelea mojawapo ya nyuzi zangu hapo utajua hayo, chagua jina lako hapo.

2. Piga Screenshoot 📸: Piga picha ya neno ulilochagua.

3. Tuma Inbox 📲: Tuma screenshot hiyo kwenye inbox yetu kupitia WhatsApp.

4. Lipia 💸: Utalipia jina lako, na nitaithibitisha namba yako ya WhatsApp.

5. Pata Pesa zako: Pesa zako zitaingia kutokana na jina ulilochagua kama ni YAKUZ au YAVUZ yako.

Jiunge sasa na ufurahie maisha rahisi na ya uhakika ✅.

Usikose kipindi kila siku saa tatu mpaka saa saba mchana 🎯

👉 Bonyeza hapa kujiunga na group letu la WhatsApp

Karibu sana! 🎉
 
Mimi Hadi vocha sometimes nampiga virungu anaweza akaukpigia anasema oya sogea pembeni kidogo kama umekaa na watu ujue hapa Kuna kakikao kidogo 🤣🤣🤣
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 Nyie mna hatareeeee yaani....
Sasa jichanganye uje zinguana na last born wake
 
Back
Top Bottom