Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Nilisema mara mbili nikaanza kucheka ila nahisi na pombe zilichangia ngoja nitafute siku nikiwa nimefuria sina hela ya pombe niwe sijalewa nijaribu nikiwa serious nione nini kitanikuta
Mkuu natumai unaweza jikuta siku yako imebadilika aisee maana nayokutana nayo mimi mda huu ni zaidi ya bahati SIJUI...
Aiseee haya mambo yasikie tuu
 
Mkuu natumai unaweza jikuta siku yako imebadilika aisee maana nayokutana nayo mimi mda huu ni zaidi ya bahati SIJUI...
Aiseee haya mambo yasikie tuu
Natamani sana ndugu ila ndiyo vile hatma zetu zimeharibiwa na makundi rika.
Keep insisting me i will stand firmly once again .
Kwaheri ndugu kwasasa umetosha madonda yangu wacha niendelee na konyagi zangu kwanza
 
Ahahaha watu kama nyie mkikutana na janabi live live anawakata shingo 😂😂😂🙌🙌🙌
Siwezi gombana na kale kadude si nakasukuma na kidole cha mwisho kanaenda chini .

Haujaona kanavyomuangalia vibaya kapteni Troure kisa alikapa tano kwa nguvu kidogo kadondoke nasikia mara ya mwisho kalikula chungwa moja pale tabata kwa mkewe mama Asma 🤔
 
Siwezi gombana na kale kadude si nakasukuma na kidole cha mwisho kanaenda chini .

Haujaona kanavyomuangalia vibaya kapteni Troure kisa alikapa tano kwa nguvu kidogo kadondoke nasikia mara ya mwisho kalikula chungwa moja pale tabata kwa mkewe mama Asma 🤔
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mara ya mwisho alikula chungwa...
Oaaa weee tayari ushapiga tungi nini 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Jana gentleman,
alitembelea miongoni mwa mashamba yangu hapo nyumbani kijijini alikua akinipa feedback ya hali halisi ya mazao. Anapenda kilimo sana japo nimstaafu,

In fact,
ana endelea vizuri na as a leader nimembless sikukuu na kakitu tangu mapema sana 🐒
Hayo mashamba ulipewa na ccm kwa uchawa
 
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
View attachment 3310163
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima kuwe na baraka ilio na nguvu. Vile vile kama ilivyo laana kuwa haitoki kirahisi rahisi hivyo hivyo hio baraka special ndani yake haitoki kirahisi rahisi.

Na baraka hii anakuombea kila siku ila naamini itakuwa maradufu kama pale utakapo mkumbuka mama yako kwa nama ilio special, mara kwa mara na ukimuombea afya njema (sala) mara moja moja pale unapokutana naye au kumpigia.

MPIGIE MAMA SASA HIVI NA UMTAKIE SIKU NJEMA.
Ni kama wiki mbili HIVI zimepita tayarii
 
Jana nimeongea nae kwa video call, nashukuru kwa hilo
Napata Dua zake kila mara
Dua ya Mama ina nguvu sana asikuambie mtu

Wakumbukeni wazazi na kama mna chochote watumieninajuaa kuna wazazi wengine wana uwezo ila sio mbaya kuwapa pia ili watoe sadaka
Hongera sana
 
Sasa niache pombe nahisi nimekuwa .
Nimefungua huu uzi na hapa niko bar eti nilivyo fala si nimeanza kulia eti nimemkumbuka mama yangu .

Kaja dada mmoja kaniuliza kaka unalia nini nikamueleza nimemkumbuka mama akanipa pole nyingi na akawa anaondoka kakutana na mhudumu mmoja nasikia anamwambia yule muhudumu kaka wa watu mmemlewesha mpaka kamkumbuka mama yake ni hapo nikagundua kweli nimelewa maana hata jana ningemkumbuka mama kwanini ni sasa na kwanini nilie 🤔

Keep resting sweet mom ,nakupenda sana
POLE SANA MKUU WANGU

AENDELEE KUPUMZIKA
 
Haya wenye mama zenu ,
Wangu alifariki zamani nipo drs la 7 hata simu sina.
Aendelee kupumzika kwa amani mama yangu kipenzi.
Mara nyingi namkumbuka kwenye sala namuombea na pia namuomba na yeye awe ananilinda
Pole sana mkuu

Amepumzika tena kwa amani.
 
Back
Top Bottom