Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

Jana gentleman,
alitembelea miongoni mwa mashamba yangu hapo nyumbani kijijini alikua akinipa feedback ya hali halisi ya mazao. Anapenda kilimo sana japo nimstaafu,

In fact,
ana endelea vizuri na as a leader nimembless sikukuu na kakitu tangu mapema sana 🐒
Hongera sana mkuu
 
Nje ya mada

Mara ya mwisho umempigia baba yako lini?

Kina mama wako overrated kinyama! Kina baba nao wana moyo
Kwanini wanamama wanatritiwa kama special group 😁
We dada huwa nakupenda ww Acha Tu kwa madini kama haya ,tafuta sehemu tujipooze ata Kesho

Yaani mfano mdogo tu barabara inajengwa bila kutaja neno wamama na watoto wanateseka inaonekana hio barabara sio ya muhimu kujenga ..Sijui kizazi tunakipeleka wapi
 
ILA JF NI SPECIAL PLACE YA VICHOMI VYA KILA AINA

TOPIC INAONGELEA mama binafsi ILA MTU ANASEMA KWA NINI HAUJAMUONGELEA BABA🤣🤣🤣

Ila yeye unakuta yupo bar sasa hivi amepiga nusu kreti amezungukwa na malaya na mke ameacha nyumbani, so na wewe na kuuliza mke wako yuko wapi hapo

Ila JF 🙌🏿
 
Pole sana mkuu

Amepumzika tena kwa amani.
Asante , amina .
Nilivyokuwa nampenda alifariki tarehe 30/12
Mimi tarehe 10/01 naenda kuanza form one boarding huko.
Nilikuwa kila nikimkumbuka nalia kabisa hadi natoka darasani naenda nje naliaa wee nikichoka narudi darasani walimu walikuwa wanajua wananiacha niende kulia nje.
Ilinichukua karibia mwezi mzima .
Just emigine nilikuwa mtoto pekee wa kiume kwake so alikuwa ananipenda sana tena waziwazi kulipo sister zangu alikuwa anaweza kuninunulia mimi peke yangu zawadi , au alikuwa na kawaida ya kutoka out na mimi tu ma sister wakilalamika wanaambiwa mimi ndio mlinzi wake.
Miaka 20 sasa imepita tokea afariki .
Kwa sasa nikienda tu kijijini hata kabla sijaweka mabegi chini naenda kaburini kwake kusali
 
Na bado ukamwacha na vichanga vyake?
Sasa hiyo huruma mbona haipo hapa Mangi?

Huruma ni pamoja na kuwaoa Ili uwape heshima, hao uliowala uliwqonyeaha huruma mithili ya mamio?

JF tusipretend Mangi, Mimi nampenda mama yangu ila siwezi MWEKA karibu na pesa ataniliza.
😂😂😂Kwamba atakuliza
JF tusipretend Mangi, Mimi nampenda mama yangu ila siwezi MWEKA karibu na pesa ataniliza
 
Asante , amina .
Nilivyokuwa nampenda alifariki tarehe 30/12
Mimi tarehe 10/01 naenda kuanza form one boarding huko.
Nilikuwa kila nikimkumbuka nalia kabisa hadi natoka darasani naenda nje naliaa wee nikichoka narudi darasani walimu walikuwa wanajua wananiacha niende kulia nje.
Ilinichukua karibia mwezi mzima .
Just emigine nilikuwa mtoto pekee wa kiume kwake so alikuwa ananipenda sana tena waziwazi kulipo sister zangu alikuwa anaweza kuninunulia mimi peke yangu zawadi , au alikuwa na kawaida ya kutoka out na mimi tu ma sister wakilalamika wanaambiwa mimi ndio mlinzi wake.
Miaka 20 sasa imepita tokea afariki .
Kwa sasa nikienda tu kijijini hata kabla sijaweka mabegi chini naenda kaburini kwake kusali
🥹🥹

Mkuu sikuju li haunijui na wala sikumjua mama yako ila nakuombea na namuombea mamaa yako aendelee kupata amaani na pumziko.
🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
 
We dada huwa nakupenda ww Acha Tu kwa madini kama haya ,tafuta sehemu tujipooze ata Kesho

Yaani mfano mdogo tu barabara inajengwa bila kutaja neno wamama na watoto wanateseka inaonekana hio barabara sio ya muhimu kujenga ..Sijui kizazi tunakipeleka wapi
Mkuu umeandika kwa hisia sana
Lakini ukweli ni kwamba wamama wanapewa value sana huku upande wa pili wakiwa watazamaji tu wakati sisi wote ni binadamu
 
Nadhani ingekuwa vyema kama ingesomeka ivi
"Mara ya mwisho lini uliongea na wazazi wako"
Watoto wengi tumekuwa na tabia ya kuongea na mzazi wa kike kila siku lakini wakiume ni mara chache sana tena ikitokea nikupitia simu ya mzazi wa kike akati Baba nae anayo simu
Mimi nadhani ni vyema kuongea nao mara kwa mara maana mzazi wa kiume nae anasikia maumivu au hisia kama wa kike ivyo tubalance upendo
Vuta picha ulikuwa unawazazi wote lkn ukawa unampendelea wa kike tuu siku Mungu akimuita wa kike na kumuacha wakiume sijui kama utaweza kuamisha upendo ule kutoka kwa mama kwenda kwa Baba jibu ni apana ivyo tujitaidi kuwapenda na kuwajali wote kwa wakati mmoja
 
Asante , amina .
Nilivyokuwa nampenda alifariki tarehe 30/12
Mimi tarehe 10/01 naenda kuanza form one boarding huko.
Nilikuwa kila nikimkumbuka nalia kabisa hadi natoka darasani naenda nje naliaa wee nikichoka narudi darasani walimu walikuwa wanajua wananiacha niende kulia nje.
Ilinichukua karibia mwezi mzima .
Just emigine nilikuwa mtoto pekee wa kiume kwake so alikuwa ananipenda sana tena waziwazi kulipo sister zangu alikuwa anaweza kuninunulia mimi peke yangu zawadi , au alikuwa na kawaida ya kutoka out na mimi tu ma sister wakilalamika wanaambiwa mimi ndio mlinzi wake.
Miaka 20 sasa imepita tokea afariki .
Kwa sasa nikienda tu kijijini hata kabla sijaweka mabegi chini naenda kaburini kwake kusali
Pole Sana mkuu
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana
Lakini ukweli ni kwamba wamama wanapewa value sana huku upande wa pili wakiwa watazamaji tu wakati sisi wote ni binadamu
Acha Tu Ndugu yangu unaweza fika mfano Tu hospitalini Wanaume wapo wengi Tu wanapigwa au kuonewa na familia zao ila utaskia kapata ajali ya Bodaboda uyo ukivuta hisia inaumiza Sana
 
Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
View attachment 3310163
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima kuwe na baraka ilio na nguvu. Vile vile kama ilivyo laana kuwa haitoki kirahisi rahisi hivyo hivyo hio baraka special ndani yake haitoki kirahisi rahisi.

Na baraka hii anakuombea kila siku ila naamini itakuwa maradufu kama pale utakapo mkumbuka mama yako kwa nama ilio special, mara kwa mara na ukimuombea afya njema (sala) mara moja moja pale unapokutana naye au kumpigia.

MPIGIE MAMA SASA HIVI NA UMTAKIE SIKU NJEMA.

KWA WALE MAMA ZAO WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI, NAWAOMBEA AMANI NA PUMZIKO HUKO WALIPO🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
Samahani mkuu, sina mama!😥
 
Nje ya mada

Mara ya mwisho umempigia baba yako lini?

Kina mama wako overrated kinyama! Kina baba nao wana moyo
Kwanini wanamama wanatritiwa kama special group 😁
Hii hoja ya Joanah naiunga mkono asilimia mia..double standards Kwa wazazi ni kitu ambacho hakikubaliki kbs..bahati mbaya na mibaba inashiriki kupalilia hizi double standards
 
Back
Top Bottom