Angalau wewe unakumbuka mzazi wakoAu hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc
View attachment 3310163
Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima kuwe na baraka ilio na nguvu. Vile vile kama ilivyo laana kuwa haitoki kirahisi rahisi hivyo hivyo hio baraka special ndani yake haitoki kirahisi rahisi.
Na baraka hii anakuombea kila siku ila naamini itakuwa maradufu kama pale utakapo mkumbuka mama yako kwa nama ilio special, mara kwa mara na ukimuombea afya njema (sala) mara moja moja pale unapokutana naye au kumpigia.
MPIGIE MAMA SASA HIVI NA UMTAKIE SIKU NJEMA.
Aisee, siku nyingine anakuwa ulaya ndo inapita wiki!Daaah aisee mi kila siku naongea na mama..
Kila siku napigiwa na mama asubhi.
Leo imefika saa tatu ajanitafuta nikawa sina amani mda si mda akanipigia....
Ila akiwa mbali na tanzania huwa inapita week siongei nae...
Hapana mkuu anakuwepo hapa hapa afrika but sehemu aliyopo kunichek kila siku ingewezekana ila mimi tuu huwa nazingua kupokea WhatsApp call...Aisee, siku nyingine anakuwa ulaya ndo inapita wiki!
Kuna akina sisi mama yuko hapahapa kizimkazi lakini wiki inapita hivihivi.
Na baba jeJana nimeongea nae kwa video call, nashukuru kwa hilo
Napata Dua zake kila mara
Dua ya Mama ina nguvu sana asikuambie mtu
Wakumbukeni wazazi na kama mna chochote watumieninajuaa kuna wazazi wengine wana uwezo ila sio mbaya kuwapa pia ili watoe sadaka
Amefariki zamani sanaNa baba je
Daaah aisee mi kila siku naongea na mama..
Kila siku napigiwa na mama asubhi.
Leo imefika saa tatu ajanitafuta nikawa sina amani mda si mda akanipigia....
Ila akiwa mbali na tanzania huwa inapita week siongei nae...
Kumtembelea nakoMi kila siku nampigia asubuhi kumjulia hali ameamkaje.
Daaah pole sana mkuuAmefariki zamani sana
Ila ndio alikuwa Top
Mpaka leo namkumbuka na kumtolea sadaka
Mpaka wajukuu wa wazee waliokuwa wanamfanyia kazi kwa uaminifu huwa nawasaidia ninapowaona wana shida
Mzee kafariki miaka mingi sana iliyopita
Ni baba ndio kakujengea heshimaKabisa , mama yangu ndio amefanya mpaka leo nawaheshimu wanawake wote hata kama amekula nauli na hakutokea, yani nikimkumbuka mama yangu nashindwa hata kumuumiza mwanamke yeyote kwa kumtafuna na kumwacha tu bila ndoa wanayotamani wengi๐ค๐ค
Daaah mi baba nina kipengere nae mkuu acha tuu..Na baba?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unawakumbuka wazazi au unamkumbuka mama??Jana nimeongea nae kwa video call, nashukuru kwa hilo
Napata Dua zake kila mara
Dua ya Mama ina nguvu sana asikuambie mtu
Wakumbukeni wazazi na kama mna chochote watumieninajuaa kuna wazazi wengine wana uwezo ila sio mbaya kuwapa pia ili watoe sadaka
Ila baba hufanyi hivi??Mi kila siku nampigia asubuhi kumjulia hali ameamkaje.
Mleta uzi ndiyo ile mitoto mingese na mipumbavu inayo sema ๐BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU ๐๐๐๐Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc