Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Nilizushiwa naendana na kademu kamoja hvi kila kona skuli wanatutania mimi na yule demu, nikajisemea apa acha niitumie hii chance ishu ikaja naanzaje???Namwambia nini?

Nikawazaaa nikaona huyu acha nitumie njia yetu ile nikachukua daftari langu nikachana katikati nikawa na karatasi kubwaaa ..... Sasa hapo naandika nini likawa swali jingine gumu kichwani mwangu nikaona nikimshirikisha mtu yeyote nitachekwa na ukikumbuka miaka hyo sio mchezo.

Naanza kuandika "Mimi nakupenda Sana nimevutiwa na wewe siku nyingi naomba uwe wa maisha yangu " hapo swaga zikawa zimeisha ile karatasi haijafka hata robo nikaona isiwe kesi ile space yote iliyobaki kwenye karatasi nikachora luv(kopa) kubwaaa kujaza karatasi yote halafu nikachora na mshale katikati.

Nikampa mwamba mmoja apeleke hyo tupo form nyoya apo basi nimekaa nasklizia majibu mara naona anakuja demu na marafiki zake kama 8 hvi nikasema leo kweli Mkulungwa03 nimepatikana wakafika nilipo huku wakicheka hatar kuwa eti ndo huyu kaandika kile kibarua cha kunitongoza DUUUH nilichekwa Hadi nikaichukia shule nikawa mtu wa kujificha Hadi clas kuzama naogopa ila nikajitaidi kujikaza likaisha hilo swala na mtoto hata sikumpataπŸ˜‚πŸ˜
 
First Time yangu kutongoza Ilinipa Funzo la Karma, What goes around alwayz comes back around asee

First time kutongoza niko pre form one, dem alikua mtoto wa mwalimu mweupee mkali kinoma shule nzima hakukua na pisi kama yeye,
Huyu binti Nilisoma nae Primary, alihamia tukiwa darasa la 6... Nilimzimia kinyama ila nilikua jeuri sikuwahi mtongoza primary yote.

Huko Primary Wana sasa walikuwa wanajitutumua wanapigwa kibuti, mpaka akaja mwana mmoja tulimuita mr. Misifa akamtokea dem akamuelewa wakajidetisha moaka tunamaliza la 7...

Basi, tukamaliza la saba
Pre form sasa baada ya kusikiliza sikiliza nyimbo za westlife na Celline Dion, akina Chriss Brown na Tyga nikajikuta mnyamwezi kimtindo na kingereza cha kwenye movie basi nkasema ngoja nmrukie binti...kwa hiki kingereza huenda akaelewa.

Ebhna niLikua nachat chat nae kawaida siku nyingi ila siku moja nikajilipua nikatuma text yangu mwenyewe ya mapendo ya kingereza huku nikiamini mtoto wa mwalimu anaweza akawa wangu

Lakini baada ya ile text Binti alinijibu "Sikuelewi unasemaje, English ya mtaani huwa siilewi"
Daaah Nilipigika moyoni kinoma, nikaona basi bhana suala la mapenzi na huyu Binti limefilisika tukabaki marafiki tuuu
Wakayi huohuo nasikia maneno kwa wadau kuwa Binti wanawachanganya Mr. Misifa na jamaa mmoja hivi mtoto wa askari na jamaa yetu mwingine hivi yeye alifaulu shule ya kipaji... Nafsi ilikuwa inauma ila sasa ningefenyeje?

Tukaingia sekondari, yeye alienda kusoma mbali lakini wale mashoga zake alokua nao (ushosti wao ulikua umeiva kweli kweli kiasi cha familia zao kujuana na kutembeleana) walianzia pale niliposoma mimi.
Mmoja akanitongoza waziwAzi asee, Daaaah dem alikua wa Chuga alinipga Swaga za maneno matam na ahadi nyingi kama anaomba teuzi daaah nilijihisi kudhalilika, lakini huwez amini nilikataa, huyu alikua mtoto wa askari akaniahidi atanipa chochote nnachotaka kidume nikakataa, akaja nae akahama sekondari..

Shoga ake wa pili akasoma mpaka form two nae akahama...

ila huyu wa pili akaja kujiseti tupo advance, nikatupa ndoano akanasa hakuchomoa, binti akafia penzini akawa hajiwezi masikini niseme nini mimi asifanye? hakuna...

Sasa tukakutana chuo (na yule alonambia haelewi english ya mtaani) akakuta mi na shoga ake Penzi Mubashara yaan bul bul na haikua siri, huko Whatsapp, Insta na Fb mambo yalikua dhahiri kwa kila mmoja.
Siku moja akanitumia text eti 'naona X kakuweka mpaka DP'
nikamjibu 'Hamna umeangalia vibaya hebu cheki na Insta uone kama kweli'

(Binti aliifanya pic yangu DP katika akaunti zake zote za sosho media)

Taarifa nilizokuja kuzipata ni kwamba alimnunia Dem wangu akawa haendi tena kwao,

Nae siku moja alinfungukia namna mjamaa aliyembikiri advance alivyomsaliti vikali kwa kutoka na T.O huku akimwambia maneno ya dharau kuidhihaki kazi ya mama yake na kozi anayoisoma jamaa alidhihaki mpaka vizawadi alivyokuwa anapewa na dem, yaani kila kitu dem alichofanya kwa mshikaji jamaa alikua anadharau tu

Ilimpata Fedheha akachekwa mpaka na Mashosti zake ikamharibu sana Kisaikolojia, Binti alipatwa na maumivu makali kiasi cha kukonda, kuboronga masomo yake na baya kuliko yote kutoyatamani tena mapenzi mpaka akaanzisha ka desturi ka kujitoa 'Out' mwenyewe kujiliwaza....

Aliniomba mara kadhaa kujumuika nae kwenye mikahawa ya KFC huku akiahidi ati atashughulikia Bili lakini kistaarabu nilikataa

Nikaamini kwamba Karma ni kweli...
 
Acha uongo umemgegeda kweli?
 
Yeah! Karma is real!
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hahahah
 
Nakumbuka mara ya kwanza kutongoza nilikula tunda kimasihara siku hiyo hiyo, tulikuwa tunacheza kombolela usiku ile wakati wa kujificha nikamfuata mdada mmoja (nilimpenda sana) tukawa tunabisha
Mimi: "ukinipa papuchi nakupasua"
Yeye: "huwezi kwanza wewe bado mtoto mdogo" (alikuwa darasa la 6 na mm wakati huo nipo darasa la 4)

Tukabishana weeee mwisho wa siku nikamwambia kama huamini hebu nipe uone, si akakubali bhana tukatafuta chimbo ambalo hakuna mtu angetuona akabinua sket kuelekea juu, harafu chupi ndo akavua na mimi nikatoa kabtula (sikuwa navaaga chupi kipindi hicho boksa sizijui wala)

Tukapiga shoo ila niseme wazi sikufurahia ukilinganisha na sasa maana kipindi hicho nilifanya tu mda mrefu bila kumaliza mpaka kadushe kakasinyaa sjui ndo nilikuwa sijabarehe

Tumekuja kutokeza watu wameshaahirisha kombolela wametutafuta hatuonekani, tukasambaa kwenda kulala kila mmoja kwao, ile kufika home nikamsimulia brother kuwa nimekula tunda akanibishia nikachomoa dushe nimuoneshe yale maji ya papuchi maji kama mafuta hivii yaliobakia (ikumbukwe sikujifuta)
 
Alikufundisha kuwa uasherati ni dhambiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hapo ukujiuliza hali haliyonayo mke wake?
 
Wadada sioni wakitiririka wao ilikuaje kutongozwa kwa mara ya kwanza πŸ˜‰πŸ˜‰
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23]Mkuu hii imenichekesha kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…