Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 njoo nikuunge Bei 40000/

Malipo baada ya kazi
 
Nikiwa darasa la 3 kuna msichana alinipa barua mi nikaiweka mfukoni ili niisome baadae, bahati mbaya nilikuwa monita hivyo kuna karatasi ya majina ya wanaopiga piga kelele nayo niliiweka mfukoni, jioni huwa ndo naipeleka kwa walimu ile orodha ya wapiga kelele ili wabebe viungo(viezekea vilivyotengenezwa kwa makuti ya mnazi) kupeleka kwa wanunuzi, basi mi nikajichanganya badala ya kutoa karatasi ya majina si nikawapa ile barua, ikaja somwa mbele ya wanafunzi wote mstarini du ilikuwa hatari, yule mdada wawatu nae akabebeshwa viungo nilimuonea huruma
 
mkuu au ndio hii?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ko ndo ukaishia kula kwa macho mzee
 
Niliogopa sana ndo tulikua tumemaliza drs la 7 nilimchukia yule kaka. Alikua kakomaaa japo tulimaliza wote std 7
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Daah umenikimbusha mbali sana, nikiwa darasa la tano nilimwandikia barua mtu ninaekaa nae dawati moja kumtongoza na nikamuahidi akikubali namuhamisha shule na kumpeleka english medium. Yule fala huwa ananicheka mpaka leo.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Daah umenikimbusha mbali sana, nikiwa darasa la tano nilimwandikia barua mtu ninaekaa nae dawati moja kumtongoza na nikamuahidi akikubali namuhamisha shule na kumpeleka english medium. Yule fala huwa ananicheka mpaka leo.
Dah! kama mama ataiona hii comment basi itabidi akufikirie kwenye uteuzi yaani wewe ni mwanasiasa by natural.
 
We bwege kweli!! Dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…